Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 483
- 491
Mi nimeamua kuwa nalipa kifurushi cha 10,000 tu. Unalipa 23,000/= unaishia kuona njiwa wa kuedit anapaa.Mwantumu ingawa ni marudio, bado ni kali sana, mzee Mrisho na Kaboba wako 💥💥
Ila DStv wanavyotuona watazamaji mapopoma, wanarudia tamthilia, nyingine wanazikatisha njiani, 2023 mnaoneshwa tamthilia zilizooneshwa 2015 huko (kapuni, sarafu nk). Hawajali value for money
Yaani unalipa fedha ili uone kitu ulichowahi kukiona kwa kulipia.