Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😂😂😂 walisema imeisha? Sasa iliishia kwa wapiUnawaambia hii Yalaiti mbona haikuisha na mmeanza marudio, wao wanakomaa kuwa ilifika mwisho. Mwisho si ni lazima neno MWISHO litokee na story yenyewe iwe imekwisha?? Yaani mfano leo baadae tuambiwe JUAKALI imefika mwisho.
Au mimi ndio sielewi?😃😂