HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.

Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
umejuaje
 
Niliacha kuangalia juakali pale Prof kamchana Frank kuhusu Maria. Ilikuwa jumapili ya tar 12.

Tar 13- nikawa mbali na Dstv.

Nimerudi jana… eti ndio nakuta Frank yuko Hosp!

Ina maana Lamata alishindwa kuimaliza hiyo Ep last week?

Na kuna ile Yalaiti.. ilianza vizuri… mara karibia wahusika wote wakafulia, wakarudi vijijini. Nikaacha kuangalia
 
Bora mmeona Yan Huwa wanatunga story wasizojua mwisho utakua vipi ndo mana wanabaki kupuyanga puyanga,
 
Niliacha kuangalia juakali pale Prof kamchana Frank kuhusu Maria. Ilikuwa jumapili ya tar 12.
Tar 13- nikawa mbali na Dstv
Nimerudi jana… eti ndio nakuta Frank yuko Hosp!!
Ina maana Lamata alishindwa kuimaliza hiyo Ep last week?

Na kuna ile Yalaiti.. ilianza vizuri… mara karibia wahusika wote wakafulia, wakarudi vijijini. Nikaacha kuangalia
Bad enough hyo yalaiti wamerudia upya
 
umefanya research yako kwa sample ipi mkuu maana huku kwetu ileje Huba inawika watu hatulimi tunashinda kuirudiarudia hyo jua kali ndo nini
Hahahahhahaha
 
Japo zio mfuatiliaji wa hizo isidingo ila nadhani jua kali kidogo inavutia sio ile ya kishua huba, kila mtu tajiri.

Bora mwantumu, kuna zile tamthilia zamani zilikua zinaoneshwa ITV kila jumamosi aisee zilikua za moto mnoo.
Ulikua utanzania halisi, sio hizi tamthilia nzima watu wapo ofisini. Upuuzi mtupu.
 
Bad enough hyo yalaiti wamerudia upya
Utacheka sana wakikwambia sababu ya kurudia ni maoni ya watazamaji. Wanasema ndio tamthilia ilikuwa na watazamaji wengi sababu ya uwepo wa Wakenya wawili, waliongeza mvuto na sasa watazamaji wengi wameomba irudiwe😃😃 na watazamaji wenyewe ndio sisi tumashangaa tuliomba lini hilo jambo Depal
 
Mwantumu ingawa ni marudio, bado ni kali sana, mzee Mrisho na Kaboba wako 💥💥

Ila DStv wanavyotuona watazamaji mapopoma, wanarudia tamthilia, nyingine wanazikatisha njiani, 2023 mnaoneshwa tamthilia zilizooneshwa 2015 huko (kapuni, sarafu nk). Hawajali value for money

Yaani unalipa fedha ili uone kitu ulichowahi kukiona kwa kulipia.
 
Utacheka sana wakikwambia sababu ya kurudia ni maoni ya watazamaji. Wanasema ndio tamthilia ilikuwa na watazamaji wengi sababu ya uwepo wa Wakenya wawili, waliongeza mvuto na sasa watazamaji wengi wameomba irudiwe😃😃 na watazamaji wenyewe ndio sisi tumashangaa tuliomba lini hilo jambo Depal
Mbona sie hatujaomba jamani 😂😂
Nilikuwa naipenda.. mwanzo ilikuwa inaeleweka. Mara ghafla watu wamefulia wotee.. nikaanza kushangaa, mara marudio. Nikaachana nayo.
 
Mbona sie hatujaomba jamani 😂😂
Nilikuwa naipenda.. mwanzo ilikuwa inaeleweka. Mara ghafla watu wamefulia wotee.. nikaanza kushangaa, mara marudio. Nikaachana nayo.
Unawaambia hii Yalaiti mbona haikuisha na mmeanza marudio, wao wanakomaa kuwa ilifika mwisho. Mwisho si ni lazima neno MWISHO litokee na story yenyewe iwe imekwisha?? Yaani mfano leo baadae tuambiwe JUAKALI imefika mwisho.
Au mimi ndio sielewi?😃😂
 
Zote ni za kipumbavu ila bora upumbavu wa JuaKali
 
Mnawezaje kukaa kuangalia products za bongo muvi nyie???Mimi nimejitahidi nimeshindwa wyf aki tune ivo vipindi nasepa sebuleni
 
Njoro wa uba unyama sana mule, kila siku story mpya na hazichoshi. Hii kitu siwezi kuikosa.
Ni nzuri.. sasa wanatukomesha sie tunaongalia Huba. Basi inabidi uwe 50/50 maana zinaonyeshwa muda mmoja
 
Back
Top Bottom