Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Hata wewe ungekua kwenye position ya zari ungejisikia, zari Ana kila kitu yani kakamilika kwa kweli Ana haki ya kuringa, tatizo huddah wivu tu unamsumbua, zari wala vera sio type yake, wale wako mbali kimafanikio ndio maana anagombana nao kila siku
Mie sielewagi wanaodai zari anamafanikio sanaa....yapi???
Yeye na huddah wana tofauti gani mbona kama vile wote wadangaji tu mjini hapa...
 
Mie sielewagi wanaodai zari anamafanikio sanaa....yapi???
Yeye na huddah wana tofauti gani mbona kama vile wote wadangaji tu mjini hapa...
Wote wadangaji ndio but wanatofautiana huyu anadanga anapata nn, zari Mali zake nyingi anazipata kwa mumewe na kupitia watoto, hata asipodanga ana uhakika wa kuishi maisha mazuri tofauti na huddah asipodanga hana maisha
 
Nilidhani umepatwa kwa tetemeko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni hela au alimpa ile lexus ya pink mond auze ndo amuongezee hela ili amnunulie gari kali
 
Mie sielewagi wanaodai zari anamafanikio sanaa....yapi???
Yeye na huddah wana tofauti gani mbona kama vile wote wadangaji tu mjini hapa...
Zari ilikuaga zamani mafanikio kipind yupo na ivan alikua na maduka mengi uganda kwao na maboutique ya nguo sasa hivi yote kwishney limebaki jina tu hana tofauti na wema
 
Umemaliza
 
Manake manyaku nyaku mna hasira na Zari...jus kidding lol
Mm sina team Kati ya hawa wanwake wawili ila simpendi zari kwasababu Ana mambo ya kiswahili pia Ana roho mbaya hapendi ndugu wa domo hata birthday ya tiffa hawakuepo, she's not a wife material, she's so selfish hata kwa Ivan alikuw haelewani na ndugu zake .. Hapo utaona mwenye mapungufu ni yeye
 
Kwani mama Wema kaingiaje hapa au unaona mama wema na zari wako sawa agewise!! Yaani timu bibi bomba mna mapovu nyinyi
 
Kwani mama Wema kaingiaje hapa au unaona mama wema na zari wako sawa agewise!! Yaani timu bibi bomba mna mapovu nyinyi
Halafu umeongea point moja...hivi y sijawahi ona wale watoto wa zari wakipiga picha na bibi/babu, shangazi from upande wa baba?!? Au hata zari mwenyewe??....
 
Diuuh kweli hili kahaba lililokubuhu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…