Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

hivi mtu wa miaka 33-40 ni Mzee? Kuna wadada wana miaka 34-45 hawajaolewa wala hawana watoto. Bado ni wabichi na beautiful.Uzee Wa 35 siulewi vizuri. Kuzaa kibiologia ni 49 mwisho. Wasichana wanamuoneaga Zari Wivu tuu siyo size yao kwa lolote. Ana sura nzuri, mrembo, tajiri anaishi kwake pazuri, ana usafiri Wa nguvu, msomi, Mama, kamuwin Diamond ambaye kila Dada anamtamani, yaani she is independent and classy Lady.
Ukweli ndio huo, majority wivu ndo unawasumbua! Majority ni wadogo kwa zaidi ya miaka 5 ukiwalinganisha na huyo Zari lakini kimuonekane wao wanaonekana ndo wana umri mkubwa!! Wakienda labor mara moja tu unaweza kusema ni 30 something kumbe ni 20 something!!! Hiki ndicho kinawasumbua!!
 
Umenena mkuu kiutu-uzima, asante kutukumbusha pale tunaposahau kuwa wote tunaelekea huko
Big up
Lazima nikumbuke mkuu wangu manake nami huko ndiko naelekea na mbaya zaidi wala sina uhakika kama nitafika huko manake ni rehema za mwenyezi Mungu peke yake ndiyo zinazowafanya binadamu waendelee kuhesabu miaka!! Mzee Mengi yule na miaka yake takribani 70 anakula life la kufa mtu na mtoto wa ukweli! Yaani mimi leo hii nijione mimi ni mjanja na mwerevu kuliko Mzee Mengi kv tu nina umri mdogo!! Sana sana nitakuwa najiuliza, hivi nikifika umri kama ule, totoz za ukweli kama K Lyn watakuwa wananikubali kweli!!!
 
Wanawake nimewashindwa kwa kweli Duh!

Sasa ngoja niwape mtazamo wa kiume ungekuwaje (kama ningekuwa mimi)

Huddah ni mwanamke mzuri wa kuchapa chapa chapa then unalala mbele unamkumbuka tena siku ukiwa Nazo (kama wanavyomfanya sasa)

Zari ni kahaba anayeelekea kustaafu, a little push atastaafu kabisa ukahaba so ningevuta zari nikaweka mimba zangu 2 mama lea watoto.

Wanaume mjue tuna akili ya kujua malapa ya chooni, ya garden na vile vya chumbani eeh.

Ila naendelea kuangalia mnyukano wenu
 
hivi mtu wa miaka 33-40 ni Mzee? Kuna wadada wana miaka 34-45 hawajaolewa wala hawana watoto. Bado ni wabichi na beautiful.Uzee Wa 35 siulewi vizuri. Kuzaa kibiologia ni 49 mwisho. Wasichana wanamuoneaga Zari Wivu tuu siyo size yao kwa lolote. Ana sura nzuri, mrembo, tajiri anaishi kwake pazuri, ana usafiri Wa nguvu, msomi, Mama, kamuwin Diamond ambaye kila Dada anamtamani, yaani she is independent and classy Lady.
we ukitamtamani dai unadhani kila mwanamke anamtamani?! Don't generalize plz.....he got nothing soooooo special to be admired by me
 
Mkuu silazimishi ukweli, Wema alimpa Chibu hela aongezee amnunulie gari nzuri(aliongea mwenyewe Wema alipoojiwa), Bahati mbaya hakulipenda like gari.

Najua pia kwamba migogoro ilianza alipokuwa safari ya China na crew yake na baada ya zawadi ya gari ila walikuwa bado hawajaachana rasim wakati ajuza kajiingiza katikati ndiyo maana walikuwa wanaficha.

Huyo Bibi ni nyakunyaku mzuri tu ndomana hajiamini, Kama ndoa yake na Mwanaume aliyezaa naye watoto watatu ilimshinda ndi atamuweza Chibu ambaye hata hajamuoa.
Kumbe mkuu, vp kwn sababu gani ilivunja ndoa ya Zari na Ivan?
 
Hahahaha zari kaingia cha kiume this time.....

Last time Huddah alimchamba kuwa chibu mwenyrwe ni sawa na pizza boy....

Ila wote wanatafuta kiki tu
wanaume wa zari
Ivan Semwanga
Isaac Lugudde
Farouk Sempala
General Jeje Odong
Moze Radio
Aziz Azion
Jose Chameleone
Isaiah
King Lawrence
Robert Ogwal aka Rasta Rob
Nigerian DJ
Exodus
DJ Shiru
Nigerian businessman
Tanzanian businessman who organizes her boat cruise in Dar es Salaam
Juma Seiko
Weasel TV
 
Uwiiiiiii shkamoo Huddah [emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa kichambo hicho mama!
Eti "I'm no brand ambassador of labor wards.
And I don't want to survive on child support for a living"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huddah anamuonea wivu zari, zari hajampita umri tu, hata mafanikio huddah hampati zari hata robo, kwa kuwa wote ni wauza K lakin mwenzao kalamba karata dume [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mwanzo nilikuwa namuelewa lakini nilipokuja kushtukia hii tabia yake ya dharau nilimkataa.
"A LABOR WARDS AMBASSADOR"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila zari Ana dharau sana Yule mwanamke, mmh sijui domo anaishi nae vp, lakini kabarikiwa mama wa watu, Ana watoto, Ana maisha mazuri, anafahamika na bado ni mzuri, kwa east Africa tu nadhan kati ya Malaya wote maarufu zari kawapiga bao wenzake, si mchezo
 
Aaah nimeipenda hii, huyo huddah katoka familia ya kimaskini sana kasha hustle sana ,Ana uchungu kupitwa na zari kimafanikio
zari ana dharau sana hakuna mtu alikuwa anamchukia zari ila anashow off za kijinga kama mtoto kwanza kamfundisha dai show of za kijinga hadi dai ana maadui sana toka awe na zari
 
zari ana dharau sana hakuna mtu alikuwa anamchukia zari ila anashow off za kijinga kama mtoto kwanza kamfundisha dai show of za kijinga hadi dai ana maadui sana toka awe na zari
Hata wewe ungekua kwenye position ya zari ungejisikia, zari Ana kila kitu yani kakamilika kwa kweli Ana haki ya kuringa, tatizo huddah wivu tu unamsumbua, zari wala vera sio type yake, wale wako mbali kimafanikio ndio maana anagombana nao kila siku
 
watu wana maisha zaidi ya zari wala hutowasikia kuna watoto wa kina rostam,manji kina mengi ushawai kuwasikia insta?
 
zari ana dharau sana hakuna mtu alikuwa anamchukia zari ila anashow off za kijinga kama mtoto kwanza kamfundisha dai show of za kijinga hadi dai ana maadui sana toka awe na zari
Zari labda umpambanishe na vera ndo kidogo ntakuelewa, ila kwa huddah bado sana, si ki umri tu hata mafanikio ya zari huddah hampati
 
Hawa mademu huwa wananishangaza sehemu moja tu... anyway, hata baadhi ya wanaume nao!! Unakuta eti mtu anamponda mtu mwingine kwa kigezo cha umri!!! Hivi si sawa na msichana mdogo kumcheka mwanamke mkubwa kwamba ana matiti yaliyolala wakati hata yeye mwenyewe yupo njiani kuwa na matiti yaliyolala!!!!

Halafu ningekuwa demu ningemuonea wivu sana Zari... manake baada ya kumkashifu kwa kigezo cha umri, ningeanza kujiuliza hivi nikishafika umri wa Zari bado nitakuwa na Zari's present look au ndo itakuwa basi tena!!! Bora nikashifu tumbo la Le Mutuz kv ni jambo lililo ndani ya uwezo wangu lakini nikashifu umri wake wakati nafahamu ikiwa Mwenyezi Mungu atanijaalia nami lazima nigonge uzee!!
asanteee
 
hahahaa apigwe stop madale kwenye mbu kibao wakati mtu anakalia villa za kufa mtu south.
wabongo mnachekesha sana kujipa moyo na njaa zenu,kwa hapo zari alifuata ukuni tu,huyo mama nae ni mendekeza njaa sana,km anaweza kuzuia mwanae asimsaidie babaake atakubali kuona demu mtu anatake over resources.
umeona ee!? wa mama wa namna hiyo huwa tabu tupu
 
watu wana maisha zaidi ya zari wala hutowasikia kuna watoto wa kina rostam,manji kina mengi ushawai kuwasikia insta?
Tunawazungumzia wadada wa mujini waliofanikiwa kutokana na kudanga, ukishawazungumzia vera, huddah, zari or wema wote hawa wanaishi kwa nguvu za wanaume, so nani ana wanaume wa maana na wamemsaidia kimaisha jibu ni zari the boss lady, that means mbunye yake bei mbaya inalipa yani, aaaah
 
wanaume wa zari
Ivan Semwanga
Isaac Lugudde
Farouk Sempala
General Jeje Odong
Moze Radio
Aziz Azion
Jose Chameleone
Isaiah
King Lawrence
Robert Ogwal aka Rasta Rob
Nigerian DJ
Exodus
DJ Shiru
Nigerian businessman
Tanzanian businessman who organizes her boat cruise in Dar es Salaam
Juma Seiko
Weasel TV
Khaaaa

Hawa wanaojulikana tu wanajaza kipanya....sasa wasiojulikana je???si mwendokasi mbili zinajaa????
 
Back
Top Bottom