Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
YULE DADA HANA SHEPU HATA ???Juzi tu katoka kufanya ya mdomo[emoji23][emoji23][emoji23].... Alichonacho ni mguu tu umbo la kawaida sana nyonyo yenyewe ishapoteza mawasiliano...akimzaa huyo akafanye surgery
ULE MDOMO NI MCHINA?Juzi tu katoka kufanya ya mdomo[emoji23][emoji23][emoji23].... Alichonacho ni mguu tu umbo la kawaida sana nyonyo yenyewe ishapoteza mawasiliano...akimzaa huyo akafanye surgery
maumivu yapi Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa uyo muflisi anaetegemea child support?!!!! Yeye aendelee tu kuwatotoaSometimes sio mbaya kujifariji, inapunguza maumivu, aaaaj
Ndo maana ake...katoka kufanya surgery juzi kati...kaunenepesha hata hajapendeza kwakweli![emoji26] [emoji26] [emoji26] !ULE MDOMO NI MCHINA?
What so expensive abt Zari?????Mali za instagram anamiliki mama fekero sio zari, zari yuko expensive bhana, usimfananishe zari na vitu vya ajabu, toto limeumbika yani kila idara kakamilika, mwacheni aringe ,ndo wadada mjue na wanaume wa kuzaa nao sio kila mwanaume mnapanua tu mnaishia kuzaa na kina man fongo[emoji2] [emoji2] ,zari mjanja bhana anajua jinsi ya kuutumia uzuri wake, sio mama ubaya anagawa k miaka nenda rudi na hana lolote mjni
Binamu ila tusemepo ukweli, zari maji marefuWhat so expensive abt Zari?????
Halafu warumi expensive person unavaa nguo za mr price???
Pulizi
Sema anajitahidi kuzibadili with msaada wa camera 3600 (sio 360 tena)
Hao huddah wema zari wote sawa
Urefu wake uko wapi?????Binamu ila tusemepo ukweli, zari maji marefu
Urefu wake uko wapi?????
Unajua mie hata wanaosifiaga insta siwaelewi...
Binamu hebu nipe darsa..inawezekana sioni mnachooona
Botox....ULE MDOMO NI MCHINA?
Ndo maana ake...katoka kufanya surgery juzi kati...kaunenepesha hata hajapendeza kwakweli![emoji26] [emoji26] [emoji26] !
Kawaulize clouds kwa nn zari alivyoaanda party yake mlimani city walimpa mapokezi ya aina yake na breakfast ya nguvu, nakumbuka ilikua kipindi maalumu kwa ajili ya zari tu, hakuna staa yeyote nchini aliyweza kupata mapokezi ya zari, yule mwanamke ni next level binamuUrefu wake uko wapi?????
Unajua mie hata wanaosifiaga insta siwaelewi...
Binamu hebu nipe darsa..inawezekana sioni mnachooona
Alikuwa kipya kinyemi bado......Kawaulize clouds kwa nn zari alivyoaanda party yake mlimani city walimpa mapokezi ya aina yake na breakfast ya nguvu, nakumbuka ilikua kipindi maalumu kwa ajili ya zari tu, hakuna staa yeyote nchini aliyweza kupata mapokezi ya zari, yule mwanamke ni next level binamu
Live ukimuona wala sio rangi ya ajabu kiviiiiile......sasa akishaweka camera 3600....hata maji ya ray hayaoni ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangi ile labda inawazingua
Nilipenda tu Yale mapokezi, utadhan Beyonce vile, aaah aaah zari nyie nyokooAlikuwa kipya kinyemi bado......
Halafu binamu breakfast kitu gani???
Ni baby mama tu.......zari hakuwai kuolewa na ivan
Labda walitoka mapema kuwahi foleni hawakunywa chai.....[emoji102] [emoji102]Nilipenda tu Yale mapokezi, utadhan Beyonce vile, aaah aaah zari nyie nyokoo
anamuedit hadi mtotoLive ukimuona wala sio rangi ya ajabu kiviiiiile......sasa akishaweka camera 3600....hata maji ya ray hayaoni ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha kabisa.... mpaka anakuwa wa njano....anamuedit hadi mtoto
ohooo kumbe walisema alitembea na bilionea wa tz aliendaa party yake flani kule ug hawakumtaja jinaKawaulize clouds kwa nn zari alivyoaanda party yake mlimani city walimpa mapokezi ya aina yake na breakfast ya nguvu, nakumbuka ilikua kipindi maalumu kwa ajili ya zari tu, hakuna staa yeyote nchini aliyweza kupata mapokezi ya zari, yule mwanamke ni next level binamu
mtoto kavutwa nywele ipo siku ubongo utatoka njeAcha kabisa.... mpaka anakuwa wa njano....
Katunzi chapa sana BIBI hadi kaomba poooohooo kumbe walisema alitembea na bilionea wa tz aliendaa party yake flani kule ug hawakumtaja jina
itakuwa ni ruge alivuruga