ohooo kumbe walisema alitembea na bilionea wa tz aliendaa party yake flani kule ug hawakumtaja jina
itakuwa ni ruge alivuruga
katunzi ni nani?Katunzi chapa sana BIBI hadi kaomba pooo
Zari anaedit sana...MTU unaedit hadi Apple...chaaaaaAcha kabisa.... mpaka anakuwa wa njano....
Hahahha kupatwa kwa appleZari anaedit sana...MTU unaedit hadi Apple...chaaaaa
Katunzi chapa sana BIBI hadi kaomba pooo
White party kenya ilidoda...Watanzania tu ndio wanambabaikia hoko SA hamna anaemtambua nenda Kenya hana kiki kwao ndio kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] 90% Ya followers wake watanzania Sijui wananini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada angu alimuona Msasani...anakwambia total different na zari wa insta, halafu usoni ana mani nini cjui wala sio soft....nilichoka!Live ukimuona wala sio rangi ya ajabu kiviiiiile......sasa akishaweka camera 3600....hata maji ya ray hayaoni ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahha kupatwa kwa apple
Dada angu alimuona Msasani...anakwambia total different na zari wa insta, halafu usoni ana mani nini cjui wala sio soft....nilichoka!
wanawake wa tz tunaogelea na vyura wetu bila kupindisha mgongoShuti kwa kupinda mguu hips itokee lakini wapii huna huna tu
Dada angu alimuona Msasani...anakwambia total different na zari wa insta, halafu usoni ana mani nini cjui wala sio soft....nilichoka!
Halafu zari inaonesha ushost hauwezi asee hivi kiliishia wapi na sinta?Yaah na enzi zile sintah ndio alikua mpambe wa katunzi kuunganisha kwa bibi.so alivyokutana kwenye ndege na mondi alikua anakuja kwa katunzi baadae wakiwa Hotelini akawa anawasiana na mondi katunzi akambamba [emoji23][emoji23] Weeh wacha achezea makofi na kutimuliwa na kunyanganywa tkt ndio kumtafuta mondi
Halafu zari inaonesha ushost hauwezi asee hivi kiliishia wapi na sinta?
Halafu zari inaonesha ushost hauwezi asee hivi kiliishia wapi na sinta?
Watanzania ni mwendo wa uluga luga kwa kwenda mbele...yaani zile comments 300 hadi 400 kwa siku insta kwenye page yake zote za wabongo...wabongo wanasifia hata picha ya penseli kisa zari kapost[emoji15] [emoji15] [emoji15]Watanzania tu ndio wanambabaikia hoko SA hamna anaemtambua nenda Kenya hana kiki kwao ndio kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] 90% Ya followers wake watanzania Sijui wananini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chaaaa...shost humjui baba tiffa?!![emoji16] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15]katunzi ni nani?
naomba picha tuChaaaa...shost humjui baba tiffa?!![emoji16] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
http://dm9afq7zol1mi.cloudfront.net...oads/251/313921a282b67984d0a2f160d5e18df1.pngChaaaa...shost humjui baba tiffa?!![emoji16] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15]