Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Uwiiiiiii shkamoo Huddah [emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa kichambo hicho mama!
Eti "I'm no brand ambassador of labor wards.
And I don't want to survive on child support for a living"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani katika hii thread ndo utajua kwamba wasichana/wanawake hawapendani.
Tunapendana sana...mbona hata nyie mpo mnaopenda mondi wengine king kiba na mnamponda sana tu
Mi Zari nilikua nampenda sana tuuu...
Ila alivyoanza kutojitambua kama mmama wanne nimemshusha P

Huddah nakapenda sana kale kabinti kako vizuri yy na vera sidika wote!
 
zari ana madharau sana ,sikuwa namfuatilia zari au wema ila huyu dada ana madharau sana ndo maana hata mama diamond kamshindwa. birthday za watu watandale hata kuwawish hakuna .kapigwa stop madale chezea mama mond wewe
Mwanzo nilikuwa namuelewa lakini nilipokuja kushtukia hii tabia yake ya dharau nilimkataa.
"A LABOR WARDS AMBASSADOR"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani leo unanifurahishaaaa
Hata mimi nawapenda wote Vera na Huddah [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Akitulize kinin sasa? mbona mi sikielewi hicho cha kutulizwa Nifah
 
Hapo sasa.
Akitulize azae wa kuolewa Hamisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] woyooo wakuolewa hamisaaaaa
Yani leo unanifurahishaaaa
Hata mimi nawapenda wote Vera na Huddah [emoji8][emoji8][emoji8]
sana tu huo ndo ukweli nawapenda sana tu!
Kafie mbali huko,kwani huyo Huddah aliyetupa burudani sio mwanamke?
Mbona tunampenda?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nifah
 
Zari ni mzuri hata kama ana umri mkubwa ajiulize akifikia umri wa zari atakuwaje? Nyani aoni kundule
 
team zari utawajua tu!
binamu muambie mondi binamu muambie mondi bin ladein aoe
ili atukate vilimilimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…