Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Mtu mzima kama zari,Mwenye wajukuu kuongea shit vile kabahishiwa na mjukuu wake we unaona uzuri?!!
Acheni kumpa kichwa cha kijinga zari..

Kumbukeni yule ni mama mtu mzima mambo Yale kwa sasa awaachie watoto wadogo!!
Huu umaarufu mavi kwa bimdash kama yule sio kabisa!!.

Atulize kipago alee watoto na mimba yake!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unaweza kuta umri wako ww na Zari unalingana 30's unachamba jf kwa fake id na Zari anaonekana hafai kuchambana kwa vile anatymia og acc. Nitumie picha yako mkuu niweze kufanya ulinganisho [emoji3] kama hata hujamzidi Zari kwa ukubwa
 
Ila Zari nae she's too mean anataka amiliki wanaumme wawili kwawakati moja. Yani Jobeg na Madale Maana nina evidence kwamba kule bado yuko na Don pia huku akija yuko na Domo. Nawajua kitambo tangu wanapiga usangoma kwahiyo nae nyaku nyaku sana na pia Don is so tolerant
 
Ukkshakua mama yapaswa kujiheshimu kwa manufaa ya mwanao
Labda hapo naweza kuelewa lkn si kwa sababu nyinginezo kwa kigezo cha umri. Kuna watu wanawatoto wanne ktk 20's. So yyt aliye na watoto haijalishi umri wake anapaswa kubehave kwa manufaa ya watoto wake. Nashukuru mkuu kwa darasa
 
Hhheee huda ana michambo heavy ona hiii
1473578464351.png
geniveros
 
Huda ana michambo mpaka mange amesalimu kwa huda mchezo na hapo kama ashawah kulala na diamond akitibuliwa atarusha hadi picha
Huddah angelala na Diamond angesharusha kitambo maana kilichomtia wazimu vera kuitwa kwenye ile sijui white party na hii mara ya pili kuhusu bday ya Tiffah iloishia hewani
 
Huddah angelala na Diamond angesharusha kitambo maana kilichomtia wazimu vera kuitwa kwenye ile sijui white party na hii mara ya pili kuhusu bday ya Tiffah iloishia hewani
Zari mnafiki sana tena sana tu!
 
Ila Zari nae she's too mean anataka amiliki wanaumme wawili kwawakati moja. Yani Jobeg na Madale Maana nina evidence kwamba kule bado yuko na Don pia huku akija yuko na Domo. Nawajua kitambo tangu wanapiga usangoma kwahiyo nae nyaku nyaku sana na pia Don is so tolerant
Mwenzangu wewe yako mazito tena!
Haya leta ubuyu vizuri [emoji39].
Na hizo evidence fanya kutupia hapa [emoji12]
 
Back
Top Bottom