Hawa mademu huwa wananishangaza sehemu moja tu... anyway, hata baadhi ya wanaume nao!! Unakuta eti mtu anamponda mtu mwingine kwa kigezo cha umri!!! Hivi si sawa na msichana mdogo kumcheka mwanamke mkubwa kwamba ana matiti yaliyolala wakati hata yeye mwenyewe yupo njiani kuwa na matiti yaliyolala!!!!
Halafu ningekuwa demu ningemuonea wivu sana Zari... manake baada ya kumkashifu kwa kigezo cha umri, ningeanza kujiuliza hivi nikishafika umri wa Zari bado nitakuwa na Zari's present look au ndo itakuwa basi tena!!! Bora nikashifu tumbo la Le Mutuz kv ni jambo lililo ndani ya uwezo wangu lakini nikashifu umri wake wakati nafahamu ikiwa Mwenyezi Mungu atanijaalia nami lazima nigonge uzee!!