Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Hawa mademu huwa wananishangaza sehemu moja tu... anyway, hata baadhi ya wanaume nao!! Unakuta eti mtu anamponda mtu mwingine kwa kigezo cha umri!!! Hivi si sawa na msichana mdogo kumcheka mwanamke mkubwa kwamba ana matiti yaliyolala wakati hata yeye mwenyewe yupo njiani kuwa na matiti yaliyolala!!!!

Halafu ningekuwa demu ningemuonea wivu sana Zari... manake baada ya kumkashifu kwa kigezo cha umri, ningeanza kujiuliza hivi nikishafika umri wa Zari bado nitakuwa na Zari's present look au ndo itakuwa basi tena!!! Bora nikashifu tumbo la Le Mutuz kv ni jambo lililo ndani ya uwezo wangu lakini nikashifu umri wake wakati nafahamu ikiwa Mwenyezi Mungu atanijaalia nami lazima nigonge uzee!!
point , mkuu
 
Naona watu wanaongea kiushabiki tu bila kujua lolote. Madam haachwi bwana bwana, na akiachwa hufanya bidii hadi amrudie kisha amwache yy[emoji3]
Ila mbona kila siku full kujipendekeza kwa jamaa afu nae hana tym cku iz
 
Hata huddah katupa jiwe gizani pia!

Kwa umri wa zari unaona ni sahihi kupiga vijembe vya kipuuzi km vile
So called 'bossylady'anajishusha sana!
Angemuambia dai amuoe

Boss labour babu Weeh anategemea Watoto ili aongeze siku duniani Pyeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] polee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani sikuhizi Hamna hata uhuru wa ku comment khaaa boss labour bs anaweweseka huko alipo Si mpaka kufatilia comment hivyo
 
Acha amuige Kris jenner kule ni mbelez huku ki Africa watu wamuona ambassador of labor tena na mimba hii imekosa kiki baada ya kupuuzwa na timu wema
Tanzania bhana kwa hiyo cku watu wanabeba mimba kupata kiki mtaani daah hatar sana
 
Hayo ya maneno ya team nyaku nyaku alkuwa anamaanisha nini
Nilivyomwelewa nn ni yyt mwenye tabia ya kutembea na bwana na mwenzie. Unajua fika huyu ni mume wa mtu lkn wambeba juu juu ka mwewe. Japo kwa wengi walijua ni dongo la Hamisa Mobeto
 
Nachojua Wema alimuacha Chibu baada ya kujua anamcheat.
Alimuacha Chibu kwa ile scandal ya kupewa zawadi ya gari kali wakati chibu alitoa Nissan Murano manyi. Kama utakuwa makini pia na safari ya china alokwenda Madam. Tangu hapo pakawa na mikwaruzano na ndipo wakaachana
 
Ila mbona kila siku full kujipendekeza kwa jamaa afu nae hana tym cku iz
Unajua alimuacha jamaa wakati kosa lilikuwa lake, hakuna mwanaume anayeweza kukubali kuona demu wake anatunzwa gari kali na manager wake wakati kwa kipindi kile Kadinda hakuwa na uwezo huo, akakaa kimya.
 
tatizo la zari..
ana mambo ya kitoto akati umri umeenda.
kisa anapostiwa na diamond ndo anajiona kamaliiza..
afu anaona huyo chibu kila mwanammke anamtaka
na anaona kama kamdhibiti ,hawezi kwenda popote kisa kazaa nae..

yani inafika pahala anajiona kawapanda kichwani wanawake wote wa Tanzania...
hicho ndo anachoboa..
afu mbinafsi
na kujishuku kwiiingi
 
Back
Top Bottom