Unaweza kuta umri wako ww na Zari unalingana 30's unachamba jf kwa fake id na Zari anaonekana hafai kuchambana kwa vile anatymia og acc. Nitumie picha yako mkuu niweze kufanya ulinganisho [emoji3] kama hata hujamzidi Zari kwa ukubwaMtu mzima kama zari,Mwenye wajukuu kuongea shit vile kabahishiwa na mjukuu wake we unaona uzuri?!!
Acheni kumpa kichwa cha kijinga zari..
Kumbukeni yule ni mama mtu mzima mambo Yale kwa sasa awaachie watoto wadogo!!
Huu umaarufu mavi kwa bimdash kama yule sio kabisa!!.
Atulize kipago alee watoto na mimba yake!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]