Hamisa yupo south na ivan [emoji28][emoji28]Hapo sasa.
Akitulize azae wa kuolewa Hamisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]wakurugenzi wapya walioteuliwa na Rais
Kiboko yake zari uyo [emoji28][emoji28]Hhheee huda ana michambo heavy ona hiiiView attachment 397960 geniveros
HehehehKiboko yake zari uyo [emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28]Nimekoment kwa huda kua huda nakupendaje kumbe zari kaona kaniblock hahahaha
Alimuacha Chibu kwa ile scandal ya kupewa zawadi ya gari kali wakati chibu alitoa Nissan Murano manyi. Kama utakuwa makini pia na safari ya china alokwenda Madam. Tangu hapo pakawa na mikwaruzano na ndipo wakaachana
HahahaaaWameshalalana
Hilo hata mm kanikera yaani Ndugu wa diamond hawajahudhuria birthday ya tifazari ana madharau sana ,sikuwa namfuatilia zari au wema ila huyu dada ana madharau sana ndo maana hata mama diamond kamshindwa. birthday za watu watandale hata kuwawish hakuna .kapigwa stop madale chezea mama mond wewe
Yaani Mimi mwenyew nimemdharau Sana yaani kwa umri wake si MTU wa kuchambana mitandaoni anajitia uzungu kumbe mswahili kupita hata mama mkwe wake, halafu kwa Diamond ataumiza kichwa Sana maana ni donoa donoa yule inawezekana hata huyo huda katongozwaZari nae Mtu mzima hovyoooooo....
Hivi kwa uzee ule abishane na wajukuu zake kweli,bwana huyo bwana gani?Huyo daimond ?
Kama anapendwa sana si aolewa!
Sijui ni mama wa aina gani yule,asiyejielewa aisee!
Hivi watoto wakikua watajiskiaje kuyaona mauchafu ya mama yao!
Mungu ninusuru Mimi na wadogo zangu tusiwe aina ya mama kama zari!
Si ndo hapo sasa ,hajaolewa anakuwa hivi akiolewa je ? Na kwa diamond ndoa cjuiHuddah hana cha kupotezaa...
Zari anapaswa ajiheshimu tayari ni mzazi yule
Hapo anazini tu,akiolewa sijui itakuaje.….[emoji57]
Anachamba kama mzaramo!!!
Hahaahaa nimekupenda burezari ana kipi?!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] alikua Malaya tu Ivan akamuokoa
just like an East African labour ambassador
cute mmoja kiboko ya Zari!!
Does she gat kids !!??She is an International prostitute from kenya also a drug user
Ila kichambo kina ka ukweli flani[emoji3] [emoji3]Uwiiiiiii shkamoo Huddah [emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa kichambo hicho mama!
Eti "I'm no brand ambassador of labor wards.
And I don't want to survive on child support for a living"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
An a mtoto ?,??..sista duu wa Kenya Mwenye michambo ya hajja ya kumkomesha bibi kizee zari!
Karibu Eid kwangu tafadhali, sio kwa kunifurahisha huku [emoji11][emoji11][emoji11]tatizo la zari..
ana mambo ya kitoto akati umri umeenda.
kisa anapostiwa na diamond ndo anajiona kamaliiza..
afu anaona huyo chibu kila mwanammke anamtaka
na anaona kama kamdhibiti ,hawezi kwenda popote kisa kazaa nae..
yani inafika pahala anajiona kawapanda kichwani wanawake wote wa Tanzania...
hicho ndo anachoboa..
afu mbinafsi
na kujishuku kwiiingi
Una uhakika katongozwa?? Sasa mbona alitetongozwa anahaha zaidi ya aliyetongozaWema mwenyewe alishasema kua tym zari ana date na mondi alikua ameshabreak n mondi. So zari km mwanamke kutongozwa na kukubali sio issue coz mondi alikua single (ameachana n wema) apo kamnyakuaje?
Mwanamke kujiamini bibi weee,kama ameshakuweka ndani,umezaa na bado una mimba nyingine juu na unajiamini kisa unapostiwa maneno ya nini?Nilivyomwelewa nn ni yyt mwenye tabia ya kutembea na bwana na mwenzie. Unajua fika huyu ni mume wa mtu lkn wambeba juu juu ka mwewe. Japo kwa wengi walijua ni dongo la Hamisa Mobeto
Heheheee bibi yule ana mambo?Boss labour babu Weeh anategemea Watoto ili aongeze siku duniani Pyeee