...........hudodesha kitanda kila baada ya mechi tu!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Nimechungulia kapu la utafiti kubaini chanzo chake........
Nimechungulia kauli lukuki kuainisha ni nini haswa.........
Nimechungulia kwa mhusika mwenyewe anijuze kulikoni....
Nimechungulia kila kona lakini majibu utata mtupu.......
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?

Taarifa za uchunguzi huu hazitoi mwanga hata chembe....
Taarifa nyingine zakoroma hii ni dalili ya mnyanyaso utotoni...
Taarifa za mtaani kunisakizia ati ni matunda ya kazi yangu!
Taarifa za wapambe kushinikiza ni ushirikina wa wabaya wake!
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?

Angelikuwa anajikojolea kila siku ningeona ni ugonjwa tu..
Angelikuwa ni mkavu baada ya mechi ningesema pengine unguli ni tiba.....
Angelikuwa nyan'ganyan'ga kabla ya mechi tu ningesema pengine amefanywa.....
Angelikuwa hudodesha kitanda siku moja moja tu ningehisi bakhati mbaya
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?..


 

Mkuu Rutta, subiri wataalamu waje.
 
Mkuu Rutta, subiri wataalamu waje.

Hata wewe ni mtaalamu.................changia hapa........[MENTION]@patience96[/MENTION]
 
Ruta, labda ndo squirting ila inakuja baadae usingizini. Kweli mapenzi ni challenge nyingine, mweh!
 
Ruta, labda ndo squirting ila inakuja baadae usingizini. Kweli mapenzi ni challenge nyingine, mweh!

Mimi huhisi ni ndoto nyevu.................yaani anakuwa hajamalizia vizuri......lakini akiingia usingizini ndiyo anaota kuwa bado ana-du......na kufikia kileleni.........[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 
ngoja nii kopi hii niweke kwenye archive zangu bana

Kigogo haitoshi toa mchango nielimike mwenzio.................kuna nini haswa? [MENTION]@kigogo[/MENTION]
 
anaye kudodesha basi atakuwa ni kikojozi huyoooooooooooooo Hongera kwa Mashairi yako eee bwana wacha weeeeeeeeeeeee
 

anaye kudodesha basi atakuwa ni kikojozi huyoooooooooooooo Hongera kwa Mashairi yako eee bwana wacha weeeeeeeeeeeee

MziziMkavu wewe ni mtaalamu wa haya majambozi...................hebu nitonye tiba yake ni nini?.......[MENTION]@MziziMkavu[/MENTION]
 
Baada ya kusoma heading, nilidhani ni issue ya yale mamboz ya 'kapigio' aka kat***ro, kumbe sivyo mkuu.

katerero yatoka wapi na mechi ilikwisha kamilika?[MENTION]@patience96[/MENTION]
 
Mkuu nina wasi wasi na hiyo machine.... nadhani oil ina leak.....

Okada wamaanisha yahitaji service nini?.[MENTION]@okada[/MENTION]
 
nimesoma kimakini, na penuni kupekua
sipati hali ilivi, ni kama wacheua
hivi ni nini hiki, mpenzio kubutua
sasa nahisi viroja, wadarizi mpenzio

wadarizi mpenzio, sasa nahisi hoja
na mapenzi wala sio, bali ni kuboboja
wamnanga mpenzio, wala hii si mara moja
sasa nahisi viroja, wadarizi mpenzio

tena wajipukuta, ili kumuweka yeye uchi
sijui na akija juta, utaikimbia hii nchi?
msetiri ulemkuta, ili kinu kile mchi
sasa naona viroja, wadarizi mpenzio
 
Jaribu kuchange muda wa mechi labda itasaidia..badala ya usiku iwe mchana teh teh
 
Sasa kufikia kileleni ndo kudodesha ama kuboresha kitanda? Kwani kudodesha maana yake nini?
Mimi huhisi ni ndoto nyevu.................yaani anakuwa hajamalizia vizuri......lakini akiingia usingizini ndiyo anaota kuwa bado ana-du......na kufikia kileleni.........[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 
Mimi huhisi ni ndoto nyevu.................yaani anakuwa hajamalizia vizuri......lakini akiingia usingizini ndiyo anaota kuwa bado ana-du......na kufikia kileleni........ King'asti
ruta unahitaji elimu kubwa sana ya sex mkuu

kuna kitu unananga, kisije kukunanga wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…