Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #61
Sina ushahidi kama unamfuata shaban Robert
Moyo wa Glory.....shaabani Robert anatoka wapi kwenye hili?.............[MENTION]@Moyo wa Glory[/MENTION]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina ushahidi kama unamfuata shaban Robert
niltaka kusema unadesa-big upkichwani kwangu tu..........au wafikiri ninadesa mahali? [MENTION=29654]Edward Teller
hii mada jaribu pia kuipaste jukwaa jf doctor
[MENTION]Rutashubanyuma, sasa wewe umemwagia maji unataja asidodeshe kitanda?
Ukimwaga unga anatoa ugali, nzuri zaidi ukimwaga mchanga anakupa tofali.
Na ukiamua unaanzisha mradi wa uvunaji maji au badala ya kufanyia mechi kitandani fanyieni bustanini, mnamwagilia kabisa.
Mmmhhh Ruta hiyo si ndio raha yenyewe