...........hudodesha kitanda kila baada ya mechi tu!


hii ya kinu kula mtu nayo ni kali.....................[MENTION]@TIMING[/MENTION]
 
Sasa kufikia kileleni ndo kudodesha ama kuboresha kitanda? Kwani kudodesha maana yake nini?

King'asti nielewe ya kuwa mechi ilikwshakuisha kwa hiyo hakuna kileleni hapo...........[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 
ruta unahitaji elimu kubwa sana ya sex mkuu

kuna kitu unananga, kisije kukunanga wewe

TIMING hebu fafanua zaidi ni kipi hicho kinaninanga? [MENTION]@TIMING[/MENTION]
 
topics zako nashindwaga hata kuzijibu maana sizielewagi...zingine usiandike kimashairi aisee...

mtotowamjini ugumu uko wapi wa kuelewa?.labda bado wewe ni kuku mgeni..............[MENTION]@mtotowamjini[/MENTION]
 
Hii noma niliwahi kukutananayo Singida. Nakuambia ilikuwa hatari, yaani mpaka maji yalikuwa yanaruka ukutani

Mungi ufumbuzi wake ulikuwa ni nini?.............[MENTION]@Mungi[/MENTION]
 
hii mada jaribu pia kuipaste jukwaa jf doctor
Vanmedy...............kwani kuna suala la kitabibu hapo? [MENTION]@VANMEDY[/MENTION]
 
Hazina break ndo maana zinadondoka kitandani

Fidel80............breki zinapatikana wapi? [MENTION]@Fidel80[/MENTION]
 
Yalikuwa hayaunguzi hayo maji Mungi?

joto litatoka wapi wakati mwili wa mwanadamu una joto la 36.8C maximum..............ili yaunguze ni lazima yawe mara mbili au zaidi ya hapo......[MENTION]@Fidel80[/MENTION]
 
ahisi hainihusu huu.....kwaheri bana...naimani usiku wa kuamkia leo kwako :wave:ulikuwa ni balaaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…