...........hudodesha kitanda kila baada ya mechi tu!

Mwambie awe anamaliza kwanza hiyo kitu kabla mechi haijaanza pengine itasaidia.
 
nitarudi,
mie bado mdogo hata sielewi ....loh!!!

BADILI TABIA..................utabadili tabia vipi kama umekithiri kwa visingizio kibao..............vaa uvaane[MENTION]@BADILI TABIA[/MENTION]
 
Mwambie awe anamaliza kwanza hiyo kitu kabla mechi haijaanza pengine itasaidia.

hiyo jeuri aitoe wapi wafikiri...........Rogi? [MENTION] Rogi[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Mwambie awe anamaliza kwanza hiyo kitu kabla mechi haijaanza pengine itasaidia.

hiyo jeuri aitoe wapi wafikiri...........Rogi? [MENTION] Rogi[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Nimetoka Kapa hapa

Ta Kamugisha pole sana..................fasihi simulizi siyo ya kila mtu........[MENTION]@Ta Kamugisha[/MENTION]
 
anaye kudodesha basi atakuwa ni kikojozi huyoooooooooooooo Hongera kwa Mashairi yako eee bwana wacha weeeeeeeeeeeee

...Wengine si vikojozi Mkuu bali ni Squirters...ukimshajua basi shurti kwa taulo kitandani/mpira au hapalaliki. Na hutokea wakati wa pambano 🙂🙂 na si baada.
 
...Wengine si vikojozi Mkuu bali ni Squirters...ukimshajua basi shurti kwa taulo kitandani/mpira au hapalaliki. Na hutokea wakati wa pambano 🙂🙂 na si baada.

sasa BAK hii nayo ni nini? [MENTION]@BAK[/MENTION]
 
dah ruta umemchunguza vema kweli?inawezekana kabisaaa kakeketwa.

hivi ndivyo wanavyokuwa....................ngoja siku mingine akinipa nitafanya utafiti wa aina hii
 
Sina ushahidi kama unamfuata shaban Robert
 
Daaah kwa hili sina msaada mkuu.. yani uwanja unakua chepechepe?

Samora10.....................umejuaje uwanja nao hudoda kama hayajakukuta................funguka...............[MENTION]@Samora10[/MENTION]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…