...........hudodesha kitanda kila baada ya mechi tu!

kuuliza si ujinga... unamaanisha nin kudodesha kitanda Rutashubanyuma
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma hii mada ipeleke kule GF Doctor hapa watu wanacheza makida makida tu!
 
Last edited by a moderator:
Big up !!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu hili jibu swadata na kama atasema haelewi basi imekula kwake
 
Last edited by a moderator:

Hata mkulu wa kaya angepata mshauri hata mmoja kama wewe nchi isingekuwa hapa ilipo
 
Last edited by a moderator:
kazi kweli kweli makubwa lakini mchezo ndio hutoa mazao ya match
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…