OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jamaa wanakera sana.Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa.
Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena.
Nimeingia hapa benki ni kama gulio.
Kwani mnalazimishwa, hama mkuu,iyo Bank ya makabwela,au nawewe kabwela?Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa.
Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena.
Nimeingia hapa benki ni kama gulio.
Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa.
Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena.
Nimeingia hapa benki ni kama gulio.
Lakini at least haina watu wengi.Sasa kuna ili tawi lipo UDSM hapo wanajiita University Branch.
Aisee, takataka sijawahi kuona.
Dirisha moja tu linatoa huduma, wengine wanajifanya wako busy sasa sijui busy na nn wakati wateja ndio sisi tumekuja na hamtutolei huduma.
Yaani mtu mmoja anakaa dirishani dk 10+ just kuweka hela. NMb hapana aisee.
Mhhh. Charges kwa mawakala nazo kubwa. Lkn at least ni convenienceHakuna kitu inachosha kama kutoa hela nyingi kwenye branch zao.
Kwanza upange foleni dirishani, then ukifika kwa teller anakwambia urudi kwa manager akusainie slip, then unaenda kupanga round 2 kwa huyo meneja ili asaini.
After that unarudi round three kuipata kwa teller.
These days nmeamua tu kua natoa kwa wakala, kila siku natoa 10M hadi nifike lengo then naendelea na mambo mengune maana hata ukiangalia charges hazitofautiani sana.
Sio kila huduma unapata kwa wakalaHata ukienda kwa mawakala vip?
Huduma ipi?Sio kila huduma unapata kwa wakala
TCB ndio bank ya serikaliSi wanasemaga Benk ya serikali? Sasa mambo ya serikali ya nchi hii siunajua huwa yanaenda pole pole...? Yaani wafanyakazi wake wanakua wa kulamba lamba miguu ndio wakuhudumie haraka. Pole hamia benk zingine.
Kuna tawi huku mza nmb buhongwa Kila siku dirisha Moja foleni ya kufa mtu mbaya zaidi ukichukua fedha nyingi utakuta ndani wamekuwekea noti mbovu imeshanitokea mara nyingi Kwa kweli nmb mjitathminiHakuna kitu inachosha kama kutoa hela nyingi kwenye branch zao.