Huduma benki ya NMB

Huduma benki ya NMB

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa.

Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena.

Nimeingia hapa benki ni kama gulio.
 
Sasa kuna ili tawi lipo UDSM hapo wanajiita University Branch.

Aisee, takataka sijawahi kuona.

Dirisha moja tu linatoa huduma, wengine wanajifanya wako busy sasa sijui busy na nn wakati wateja ndio sisi tumekuja na hamtutolei huduma.

Yaani mtu mmoja anakaa dirishani dk 10+ just kuweka hela. NMb hapana aisee.
 
Jamaa wanakera sana.
 
Kwani mnalazimishwa, hama mkuu,iyo Bank ya makabwela,au nawewe kabwela?
 
Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa.

Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena.

Nimeingia hapa benki ni kama gulio.
 
Sasa kuna ili tawi lipo UDSM hapo wanajiita University Branch.

Aisee, takataka sijawahi kuona.

Dirisha moja tu linatoa huduma, wengine wanajifanya wako busy sasa sijui busy na nn wakati wateja ndio sisi tumekuja na hamtutolei huduma.

Yaani mtu mmoja anakaa dirishani dk 10+ just kuweka hela. NMb hapana aisee.
Lakini at least haina watu wengi.
 
Hakuna kitu inachosha kama kutoa hela nyingi kwenye branch zao.
Kwanza upange foleni dirishani, then ukifika kwa teller anakwambia urudi kwa manager akusainie slip, then unaenda kupanga round 2 kwa huyo meneja ili asaini.
After that unarudi round three kuipata kwa teller.
These days nmeamua tu kua natoa kwa wakala, kila siku natoa 10M hadi nifike lengo then naendelea na mambo mengune maana hata ukiangalia charges hazitofautiani sana.
 
Dduuh Pole sn.
Ulikuwa unahitaji huduma gani labda? Maana skhizi kuna IB, mawakala n.k
Hapo ulipo ungeandika maoni ukaweka kwenye suggestion box au ungendika barua ukapeleka km malalamiko wajijue kuwa wana shida
 
Hakuna kitu inachosha kama kutoa hela nyingi kwenye branch zao.
Kwanza upange foleni dirishani, then ukifika kwa teller anakwambia urudi kwa manager akusainie slip, then unaenda kupanga round 2 kwa huyo meneja ili asaini.
After that unarudi round three kuipata kwa teller.
These days nmeamua tu kua natoa kwa wakala, kila siku natoa 10M hadi nifike lengo then naendelea na mambo mengune maana hata ukiangalia charges hazitofautiani sana.
Mhhh. Charges kwa mawakala nazo kubwa. Lkn at least ni convenience
 
Hakuna kitu inachosha kama kutoa hela nyingi kwenye branch zao.
Kwanza upange foleni dirishani, then ukifika kwa teller anakwambia urudi kwa manager akusainie slip, then unaenda kupanga round 2 kwa huyo meneja ili asaini.
After that unarudi round three kuipata kwa teller.
These days nmeamua tu kua natoa kwa wakala, kila siku natoa 10M hadi nifike lengo then naendelea na mambo mengune maana hata ukiangalia charges hazitofautiani sana.
Kuna tawi huku mza nmb buhongwa Kila siku dirisha Moja foleni ya kufa mtu mbaya zaidi ukichukua fedha nyingi utakuta ndani wamekuwekea noti mbovu imeshanitokea mara nyingi Kwa kweli nmb mjitathmini
 
lakini mim naona wapo vizur sana kwenye simbanking na salary advance haina longolongo.
 
Back
Top Bottom