Huduma gani ikitolewa bure na Serikali haitaathiri uchumi wetu?

Watanzania tusipende vya bure, kwa nch yetu, huduma hizo zikiwa bure zitakuwa ovyo mara 20 ya zilivyo sasa
 
Kwamba huduma ya maji haina tija? Point yako ni kwamba gharama za uendeshaji na usambazaji wa huduma ya maji ni kubwa kwaiyo hazitakiwi kutolewa bure, mimi nikakwambia nipe bajeti ya maji na mimi nikuonyeshe ni kwa namna gani serikali inaweza ku-adjust mambo hicho kiasi cha bajeti kikapatikana. Suala ni vipaumbele, iwajibikaji na uweledi tu wala sio gharama za uendeshaji. Kati ya upatikanaji wa maji na manunuzi ya ndege kipi kipaumbele chenye tija? Lini wananchi wa Tanzania washawahi kuwa na hitaji la usafiri wa ndege?
Labda nikwambie tu huyu mwananchi unayemtetea apate maji bure ndio adui wa kwamza wa miundombinu ya maji. Sasa leo analipia lakini hata kutunza hawezi bila usimamizi, kesho akipata hiyo huduma bure unategemea itakuaje? Issue sio bajeti ya usambazajo maji issue tabia na nature ya mpata huduma. Pamoja na yote hata bajeti ya usambazaji iwe ndogo au kubwa maji yalipiwe tu.

Lakini pia sote ni mashahidi wa namna mambo ya serikali yanavyoendeshwa. Leo hii hizi mamlaka za maji ziwe na kazi ya kusubiri fungu kutoka serikali kuu kwa ajili ya kuendesha huduma ya maji unadhani kutakua na huduma tena hapo? Tuwe wakweli tusipende dezodezo aseeh tulipie huduma hizi za muhimu. Hata ukienda kumuamsha mwananch yoyote anayejielewa hawezi kukubaliana na huduma bure ya maji
 
Tukiamua inawezekana kabisa. Hii nchi ni tajiri na haikutakiwa mwananchi yoyote kuishi maisha ya dhiki. Gaddafi alitoa huduma kibao tu bure ishindikane vipi Tanzania ambao tumebarikiwa rasilimali za kila aina. Changamoyo tuliyonayo ni viongozi wetu hawana uwajibikaji, vipaumbele na weledi. Just imagine serikali inachoma trilions of money kununua ndege, serikali inachoma bilions of money kuzungusha mwenge nchi nzima, serikali inachoma bilions of money kununua wabunge wa upinzani na kuwarudisha tena kupitia uchaguzi feki halafu unasema kusambaza maji bure haiwezekani, kweli.!
 
Kwangu mimi ni hizi hapa
1. Vipimo vya afya
2. Maji

Ni mawaza yangu tu
Kweli hayo ni mawaza aisee hii nchi ina watu wa ajabu sana yaani serikali inaweka ma billion ya fedha kwenye hiyo miradi halafu ww usichangie hata mia mbovu. Seriously🤔🤔
 
Ongezeni tozo mtakavyo ila mkifanya haya kweli nitaamini Tanzania tunaweza na Tanzania litakuwa taifa la kuigwa ulimwenguni kote
-Elimu bure hapo tumeweza✔️
- Umeme bure
-Huduma za Afya bure
Walao tukifanikiwa katika mawili hapo juu basi Taifa hili litakuwa la kipekee sana hapa duniani

Siyo lazima tufanye yote kwa mkupuo, tukimaliza moja tunaanza lingine hata baada ya miaka mitano tukifanya moja ni maendeleo makubwa sana kitaifa, walao hadi 2035 tuyakamilishe hayo

NB Vyanzo vipya vya mapato vibuniwe ili kufidia gharama za huduma zitakazo tolewa bure. Mfano wa vyanzo hivyo ni
- Kuanzisha kiwanda cha kuunda simu, ili serikali ikusanye mapato ya kutosha baada ya kuuza simu hizo ndani na nje ya nchi
- Vyeti vyote vya ndoa vitolewe na serikali pekee, na ili kupata cheti hicho walao mhusika itabidi achangie kuanzia tsh laki moja kupitia mfumo rasmi wa kimtandao utakao wekwa
- Makanisa na misikiti yote wanapaswa kulipia kodi maana ni huduma hizo, walao kila kanisa/ msikiti wachangie kima cha chini 15000tsh kulingana na ukubwa wa kanisa/msikiti kwa mwezi na kwa makanisa makubwa au misikiti mikubwa wachangie 30000-40000tsh kwa mwezi

Ni hayo tu kwa leo,
Mpenda maendeleo
Hiv mkuu unadhani kuanzisha kiwanda cha simu ni easy eeenhee
 
Kwamba huduma ya maji haina tija? Point yako ni kwamba gharama za uendeshaji na usambazaji wa huduma ya maji ni kubwa kwaiyo hazitakiwi kutolewa bure, mimi nikakwambia nipe bajeti ya maji na mimi nikuonyeshe ni kwa namna gani serikali inaweza ku-adjust mambo hicho kiasi cha bajeti kikapatikana. Suala ni vipaumbele, iwajibikaji na uweledi tu wala sio gharama za uendeshaji. Kati ya upatikanaji wa maji na manunuzi ya ndege kipi kipaumbele chenye tija? Lini wananchi wa Tanzania washawahi kuwa na hitaji la usafiri wa ndege?
Maji na Ndege vyote vinatakiwa,

Halafu lipia maji yako, kuwa responsible, usipende vya bure sana
 
Hiv mkuu unadhani kuanzisha kiwanda cha simu ni easy eeenhee
Siyo easy mkuu, kikubwa ni mtaji tu vingapi tumefanya na vimegharimu trilions of money?
Tuandae mtaji, wataalamu tutawapata tu
 
Maji na Ndege vyote vinatakiwa,

Halafu lipia maji yako, kuwa responsible, usipende vya bure sana
Nani kasema vya bure? Serikali itasambaza izo huduma kwa kodi zetu hakuna cha bure hapo halafu unajua maana ya vipaumbele mdogo angu?
 
Kweli hayo ni mawaza aisee hii nchi ina watu wa ajabu sana yaani serikali inaweka ma billion ya fedha kwenye hiyo miradi halafu ww usichangie hata mia mbovu. Seriously🤔🤔
Badala ya kumshambulia tu mtu kwamba haiwezekani mwambie akufafanulie yeye kwa mtazamo wake anafikiri inawezekana vipi. Wabongo tuache kuwa closed mind mbona nchi kibao tu huduma za kijamii ni free. Libya tu hapo Gaddafi alitoa huduma za kijamii nyingi tu bure tunaweza kutumia uongozi wake kama case study tujifunze aliwezaje. Tuache fikra mgando maendeleo yoyote yanaanza na kufikiri tofauti na ilivyozoeleka. Don't just play the game, change it.
 
Tukiamua inawezekana kabisa. Hii nchi ni tajiri na haikutakiwa mwananchi yoyote kuishi maisha ya dhiki. Gaddafi alitoa huduma kibao tu bure ishindikane vipi Tanzania ambao tumebarikiwa rasilimali za kila aina. Changamoyo tuliyonayo ni viongozi wetu hawana uwajibikaji, vipaumbele na weledi. Just imagine serikali inachoma trilions of money kununua ndege, serikali inachoma bilions of money kuzungusha mwenge nchi nzima, serikali inachoma bilions of money kununua wabunge wa upinzani na kuwarudisha tena kupitia uchaguzi feki halafu unasema kusambaza maji bure haiwezekani, kweli.!
Hata wewe ukiamua kufanya shughuli yako inayokuamsha asubuhi usilipwe chochote INAWEZEKANA? Lakini kwa nini iwe bure?

So hata serikali ikiwa na pesa na pesa vipi kwa nini upewe bure? Hujishtukii wewe kupokea tu bila kutoa. Acheni kuishi kwa story za watu huko sijui walifanya mambo gani wakawa wanaishi vizuri zipo reason behind
 
Badala ya kumshambulia tu mtu kwamba haiwezekani mwambie akufafanulie yeye kwa mtazamo wake anafikiri inawezekana vipi. Wabongo tuache kuwa closed mind mbona nchi kibao tu huduma za kijamii ni free. Libya tu hapo Gaddafi alitoa huduma za kijamii nyingi tu bure tunaweza kutumia uongozi wake kama case study tujifunze aliwezaje. Tuache fikra mgando maendeleo yoyote yanaanza na kufikiri tofauti na ilivyozoeleka. Don't just play the game, change it.
Wacha mambo yako mpasue mtu live hao libya unaowasema kiko wapi sasa?? Elimu yenyewe kila siku chenga hasara kila siku

Kulipa kodi kwa hiari hamtaki
Ubunifu zero
Kazi ya vijana ni ngono tu na kuponda viongozi mitandaoni.

Kusapoti chenyewe wenzenu wanafanya hakuna kazi kukejeli vitu vya wenzenu na kufananisha na hao unaowasema
Nyie ngozi nyeusi ni tabu sana aisee

Unataka vya bure serikali wewe umeifanyia nini kwani
 
Mkuu sio bure mbona hatuelewani. Wananchi tunalipa kodi ndio izo kodi zinatumika kurudisha huduma za kijamii mtaani sio kwamba serikali inatoa pesa zake mfukoni. Sasa utasema vipi bure wakati unakatwa kodi.
 
Wacha mambo yako mpasue mtu live hao libya unaowasema kiko wapi sasa?? Elimu yenyewe kila siku chenga hasara kila siku

Kulipa kodi kwa hiari hamtaki
Ubunifu zero
Kazi ya vijana ni ngono tu na kuponda viongozi mitandaoni.

Kusapoti chenyewe wenzenu wanafanya hakuna kazi kukejeli vitu vya wenzenu na kufananisha na hao unaowasema
Nyie ngozi nyeusi ni tabu sana aisee

Unataka vya bure serikali wewe umeifanyia nini kwani
Walimu wako walipata tabu sana kukufundisha. Anyway asante kwa kureply mkuu.
 
Mimi siungi mkono kupewa bure,bali serikali kupunguza gharama za ulipiaji ili kila mtu anufaike 1 maji 2 umeme. 3. Elimu
 
Back
Top Bottom