Huduma mbovu mabasi ya Kilimanjaro Bus

Huduma mbovu mabasi ya Kilimanjaro Bus

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa.

Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari yamechakaa machafu, hawazingatii muda na wanalipisha gharama kubwa sana.

Mfano km leo nilikua nimekata tiketi ya saa tatu na nusu usiku, lakini tumekalishwa zaidi ya masaa mawili bila taari yoyote, badala ya kutoka saa tatu na nusu pale Shekilango but tumetoka saa tatu kasoro, tukapelekwa tena Buguruni gari kujaza mafuta.

Hadi sasa naandika gari liko sheli.

Waliomfungia siku ile walifanya la maana sana; hii kampuni miaka ijayo kama hawatabadilika, wanaweza kujikuta kwenye njia moja na makampuni yaliyofilisika.
 
Ina maana mpaka sasa hujatoka hapa mzizima ? Pole sana chief....

My best bus ni Dar Express sijawahi badilisha maybe nipande deluxe..

Kuwa mvumilvu tu, mtafikiwa, safari njema.
Hakuna hadi sasa. Hovyo kabisa; hii no safari km ya tatu ndani ya mwaka mmoja nakumbana na hizi karaha
 
Aseeh pole sana...... Na mkiuliza chanzo hasa Cha kuchelewa ni nini ?

Maybe ukifanikiwa kusafiri salama, uangalie chaguo zuri zaidi aseeh.... Unakuta unapoteza uaminifu hivihvi kisa watu wachache ikiwa unaenda kwenye kazi pengine
 
Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa.

Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari yamechakaa machafu, hawazingatii muda na wanalipisha gharama kubwa sana.

Mfano km leo nilikua nimekata tiketi ya saa tatu na nusu usiku, lakini tumekalishwa zaidi ya masaa mawili bila taari yoyote, badala ya kutoka saa tatu na nusu pale Shekilango but tumetoka saa tatu kasoro, tukapelekwa tena Buguruni gari kujaza mafuta.

Hadi sasa naandika gari liko sheli.

Waliomfungia siku ile walifanya la maana sana; hii kampuni miaka ijayo kama hawatabadilika, wanaweza kujikuta kwenye njia moja na makampuni yaliyofilisika.
Una ugomvi na Sawaya nini....mbona hilo si tatizo?? kama gari lingewamwaga njiani ukajikuta hospitalini ingekuwaje???
 
Gari zuri za kutokea dar arusha ni nyingi sana, Extra luxury, Ester, BM, Mapenzi ya Mungu.....gari ni nyingi na class.

Wapandaji wa kilimanjaro wanajikuta wazungu na maborn town, tatizo linaanzia hapa, bado awapitishe kwenye mahotel yake 😅
 
Njia ya Moshi mpaka Arusha hivi sasa ina watoa huduma wengi wa kuaminika hivyo kampuni moja ikikusumbua hamia nyingine.
Usikubali kuishi kwa mazoea.
 
Kilimanjaro ni kama biashara ime washinda. Nimewahi kuwa na malalamiko nika report kwao hata hawaku jali, ukienda ofisini kwao kama Kigamboni huduma ni mbovu mno, una kuta mtoa huduma yupo busy instagram hana hata mda kukuhudumia salam tu kujibu shida. Ni mda wa kuhamia kwingine kuna basi za BM ni mpya safi huduma nzuri speed nzuri.
 
Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa.

Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari yamechakaa machafu, hawazingatii muda na wanalipisha gharama kubwa sana.

Mfano km leo nilikua nimekata tiketi ya saa tatu na nusu usiku, lakini tumekalishwa zaidi ya masaa mawili bila taari yoyote, badala ya kutoka saa tatu na nusu pale Shekilango but tumetoka saa tatu kasoro, tukapelekwa tena Buguruni gari kujaza mafuta.

Hadi sasa naandika gari liko sheli.

Waliomfungia siku ile walifanya la maana sana; hii kampuni miaka ijayo kama hawatabadilika, wanaweza kujikuta kwenye njia moja na makampuni yaliyofilisika.
Ngoja ufike hotel yao Mombo kula na kujisaidia ni dakika kumi tuu ikiweomo foleni ya kupata chakula, watu wengi huacha chakula mezani na usiniulize kinapelekwa wapi.
 
Ni kweli, kitu pekee nilichokua napandikia Kilimanjaro no hotel yao ya Korogwe unapata nusu saa ya kula tofauti na mabasi mengine.

Hata hivyo, siku hizi mabasi ni usiku na usiku mimi sili, dk 10 za kuchimba dawa kwa kweli zinatosha.

Rasmi nimehama basi lao
 
Back
Top Bottom