WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,433
- 1,442
Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari yamechakaa machafu, hawazingatii muda na wanalipisha gharama kubwa sana.
Mfano km leo nilikua nimekata tiketi ya saa tatu na nusu usiku, lakini tumekalishwa zaidi ya masaa mawili bila taari yoyote, badala ya kutoka saa tatu na nusu pale Shekilango but tumetoka saa tatu kasoro, tukapelekwa tena Buguruni gari kujaza mafuta.
Hadi sasa naandika gari liko sheli.
Waliomfungia siku ile walifanya la maana sana; hii kampuni miaka ijayo kama hawatabadilika, wanaweza kujikuta kwenye njia moja na makampuni yaliyofilisika.