Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Me pia Natumia simu yenye storage 32, ram 2 lakini tatizo Ni Hilo Hilo. Mfano tangu asubuhi haifungui hata picha za Facebook! Wakati Nina GB 5. TTCL kumbe Ni wapumbavu sana
 
Unaanzaje kutumia TTCL? Mkuu wewe ni me au ke?
Kwenye wallpaper yako nimeona picha ke matata sana, je ndiyo wew?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu ina gb 8 ram itakuwa 1:mkuu tatizo ni simu sio TTCL Kwa storage hiyo lazma ije E . ...MAPS GO....GOOGLE GO ogopa hizo simu

Sent using Jamii Forums mobile app
We unawaza makengeza kweli eti tatizo ni simu my foot!!!!!nina simu mbili Ulefone na infinix zote nikiweka ttcl mtandao unakua hivyo kujifanya much know huko vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuzi wa wajinga humu kaka wakati 95 ya watu wa jf wanatumia tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU NI HATA HALOTEL PIA...
unaweza kukaa unacheck youtube kitu mara unashangaa video haiendii, nacheki connection 3G ipo, nacheck bundle GB bado zipo... sasa nikawa najiuliza hivi labda itakuwa hizi simu janja zina namna ya kukata data labda zina note kama utakuwa umetumia internet kwa muda mrefu basi zikate


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nahisi harufu ya u tecno apa[emoji36][emoji36][emoji36]storage running out ..kanunue simu kwanza ndo urudi apa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio simu ni mtandao wao ttcl, kwa mfano Leo toka saa tisa usiku network ilikuwa inasumbua , imekuja kutengemaa saa Tatu asubuhi hii, na Nina simu yenye storage na ram za kutosha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukipiga simu calling center ya TTCL kureport hilo tatizo anapokea bibi wa kisukuma anakujibu "mwanangu hilo tatizo lako hata mimi sijui nifanye nini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…