Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Hoja zako sio za msingi mkuuu mbn mimi natumia sana TTCL

Kweli vocha hazipo lakini unaweza kununua kupitia mpesa , au kwenda max malipo kuanzia muca wa jero unapata

Ila customer care wako ovyo ,pia wapo too slow sana kujibu na kupokea cm

sent from toyota Allex
 
Hili shirika litatia sana aibu mara vocha inagoma kuingia,mara meseji haziendi,ukija kwenye Internet ndio hovyo kabisa mara 3G,mara E na saa nyingine hamna herufi yoyote,
20200211_151341.jpg
 
TTCL kwenye upatikanaji wa huduma za vocha na bundle na T-Pesa ni shida sana.

Ukienda kwa wakala anakwambia sina hiyo huduma [emoji87][emoji87]

Sasa sababu ni nini?

Je kwa kuwa mna wateja wachache? Kwa hiyo wakala anaona akinunua kuja kuuza zitamdodea zitakuwa hazinunuliki?

Kama ndivyo , Je mnamkakati wowote wa kutumia mkakati wa “market penetration “?

Kuhusu mkakati wa ku “increase market share hali ikoje?

Je mna watu wazuri wa markets strategies?

Mjitahidi vinginevyo hata tuliopo tutaweza kufikiria kuwahama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja zako sio za msingi mkuuu mbn mimi natumia sana TTCL

Kweli vocha hazipo lakini unaweza kununua kupitia mpesa , au kwenda max malipo kuanzia muca wa jero unapata

Ila customer care wako ovyo ,pia wapo too slow sana kujibu na kupokea cm

sent from toyota Allex
Unapiga COSTUMER CARE leo wanapokea simu kesho
 
Mm nataka nihamie ttcl nyumbani naskia kuna magb ya bei chini kama sumaye kumbe napo kumechafukwa.

Nimechoka kuvumilia manyanyaso ya voda kwa mb, halotel nao kifurushi cha mega bundle wanatoa sifuri mbele nahisi watanishinda nao soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna laini yenye unafuu tz , ni kwenda nazo hivyo hazieleweki unahamia halotel utakutana na vimbwanga vya huko .

Mm naipenda ttcl Ila ndo ipo slow hivyo tunabembelezana nilikitoka nje network haikamati .
Voda mb ndo hazikai na ipo fasta ,Tigo vifurushi ni bei ,Airtel sijui nisemaje hawapo vizuri internet kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unanicheka mkuu?

Lazima tusapoti vya nyumbani.
 
Back
Top Bottom