Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,518
- 10,839
Huwa situmi kama pesa nalipia bili inaenda kama vocha au nikiwa sina pesa kwenye simu naenda kwa wakala wa NMB chap napata vocha. Ila sehemu nilipo kuna jamaa ni wakala vocha za TTCL hakosi. Ila wanapaswa kuboresha upatikanaji wa vocha aisee.Ikikwama wakati unatuma salio kwenda T PESA utasaga meno wallah