Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
- Thread starter
- #161
Kupata vocha za TTCL ni sawa na kupata ajira.Aisee hili shirika letu linahujumiwa si bure, haiwezekani wapeleke gawio kwa JPM huku wakijua kabisa kuwa minara yao haitoshi , vocha hazitoshi mji mzima, wanapitwa hadi na watoto HALOTEL na AIRTEL
Sent using Jamii Forums mobile app