Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Yaani kuvunja laini ya simu mpaka kesho? Wanaume wa Dar mnakwama wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Ukiachana na izo mambo zote hebu nielekeze jinsi ya kuwatag hao shubaamitHawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatafuta nyundo
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
TTCL wao ndio wamiliki wa mkongo wa taifa wa fiber, nashindwa kuelewa kwanini wako slow?
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Rudini tu vodacom jamani sio kesi....Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
Itakuwa unatumia kuchati fb tu,mimi mwenyewe najuta kumiliki line ya ttcl.Mkuu acha kupotosha, binafsi natumia mtandao wa TTCL kupata internet, sijawahi jutia.
Vijijini ndio kuna wapiga kura wa CCM.Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.