Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu.
Wakati mimi nilipendekeza huduma hii itolewe kwa gharama ya shilingi 500 kwa mwezi, wao wanatoza shilling 4,000 kwa mwezi ambapo hukata kiasi hicho katika akaunti yako ya Tigopesa mara moja kila mwezi huku huduma hii ikidhaminiwa na MO na Resolution.
Huduma wanazotoa ni pamoja na Bima ya Maisha ambayo ni shilingi 1,000,000/=,Bima ya Ajali ambayo ni shilingi 3,000,000/= na Bima ya Matibabu ukilzwa ambayo ni shilingi 40,000/= kwa siku. Unaweza ku-access menu yao kwa kupiga *148*15 kupata maelezo zaidi.
Kwa maelezo yao, hata kama una Bima nyingine,wao watakulipa mradi tu uwasilishe vielelezo vinavyotakiwa kutoka hospitali uiolazwa.
Wakati mimi natoa hili wazo, sikujua kama huduma hii ilikuwepo au ilianza baadae ila nachotaka kusema hapa ni kuwa, mawazo tunayoyatoa humu yakifanyiwa kazi, tunaweza kabisa kutatuta baadhi ya matatizo makubwa ya hii nchi kama hili la watanzania wengi kutokuwa na Bima ya Afya na hili la kugharamia elimu ya juu.
Mimi nilieleza kwa kirefu sana na ilikuwa jukumu la wataalamu kupitia na kuboresha wazo lile na kulifanyia kazi. Sasa tuache wajanja wanaojua kutumia fursa kufanya biashaara, wapige pesa na sisi tukibaki kutegemea misaada na kukamuana kwenye kodi za kila aina kuendesha nchi.
Hata hivyo, natoa angalizo kuwa wakati wengine tumeamua kujiunga na huduma hii, serikali kama ina jambo iliweke wazi mapema tusije kuchangia kila mwezi alafu tukaja kuambiwa huduma hiyo haitambulika na vitu vingine vya aina hiyo na pia wanaotoa hii huduma tunawaasa kutimiza ahadi za kwa vitendo pale mwanachama atapohitaji kulipwa kulingana na makubaliono yaliyopo.
Vile vile napenda kuwashauri hawa watoa huduma hii waanzishe website maalamu kuhusu huduma hii ya Bima Mkononi kupitia Tigopesa, site itayotumika kutoa maelezo juu ya huduma hii, kujiunga online na hata kujibu maswali ambayo ni common badala ya kutegemea mawasiliano ya simu kusajili wanachana na kuelimisha wateja /wanachama.
Hongereni kwa ubunifu.
Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote
Nilitoa hill wazo nikiamini ni jambo linalowezeka iwapo litafanyiwa kazi na wahusika. Takribani miezi miwili baadae (December mwaka jana), nilipokea sms kutoka Tigo juu ya huduma ya Bima Mkononi inayojulikana kama Bimamkononi Faraja Yako, ambapo baadae walinipia simu na kunipa maelekezo juu ya huduma husika na nikaridhika nikajiunga.Wakati mimi nilipendekeza huduma hii itolewe kwa gharama ya shilingi 500 kwa mwezi, wao wanatoza shilling 4,000 kwa mwezi ambapo hukata kiasi hicho katika akaunti yako ya Tigopesa mara moja kila mwezi huku huduma hii ikidhaminiwa na MO na Resolution.