Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

Bora matajiri wamagari na madereva waliambiwa wapewe za kubrashia viatu

Muhimbili pale napo wahalalishiwe ,kwasababu panachangamoto Sana kila mtu analetwa na staff

Tusio na ndugu staff hewa mnabakia masaa yotehayo
 
anayesema MRI milion 500 ajipange kisaikolojia ama kutafuta maarifa zaidi MRI zilizofungwa na serikali ni latest version bei yake ina range kati ya bilion 3. 5-5,
Kwanza tambua ni 2014
Haya turudi hapo kwenye bilioni 3
Ukiweka ORDER Siemens kwenyewe kwa sasa bei ni bilioni 1 mpk bilioni 1.2 hii no kwa ile MRI premium kabisa
ila zipo za bei ya chini ya hizo
Unaweka Order muda kuipata itategemea na foleni inaweza fika hata miaka 2 au mwaka
Na unapewa walanty miaka 2 mpk 5 matengenezo juu yao

Hizo bei unazosema ni kwanza 10% usisahau
Plus kununua kwa wafanya biashara ambapo mchakato wake ni wa muda mfupi wanakuwa nazo tayari sio order

Mwaka 2017 au 2018 Magufuri alipita MUHIMBILI akakuta CT SCAN mbovu kuuliza ghalama za matengenezo ni mln 300 akakataa 7bu CT SCAN bei ilikuwa ni mln 500 mpya na walanty wanatoa miaka 2
Hvyo usitupange hicho kipimo hakifiki bei ulotaja hata nusu yake kama serikari inaamua kwa dhati kulifanya bila makandokando hilo jambo
 
Hizi facilities za umma kufanya kazi kwa ufanisi ni bado sana Tanzania, ni kwa sababu serikali imewekeza nguvu nyingi kwenye siasa na kuacha masuala ya jamii na maendeleo bila kuwa na usimamizi madhubuti. Muhimbili ya Mloganzila unaweza kudhani kwakuwa iko porini basi serikali haipo kabisa watumishi wa hospitali hiyo wanajifanyia wajisikiavyo!
 
Huwa namshangaa mkurugenzi was Muhimbili aliyesema wanakopa bilioni 600 ili kuijenga Muhimbili upya wakati Kuna uhaba mkubwa wa vifaa na mashine Kama MRI na CT scan.
 
Wananunua mav8 kila uchwao, v8 kadhaa tu unaweza kuta unapata mashine ya MRI scan
 
anayesema MRI milion 500 ajipange kisaikolojia ama kutafuta maarifa zaidi MRI zilizofungwa na serikali ni latest version bei yake ina range kati ya bilion 3. 5-5,
Mkuu rupee moja ni sawa na sh ngap za kibongo..

Haya chukua hiyo zidisha na 1.3m rupees.
 
Back
Top Bottom