Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

Misheni mikocheni Hospital wanafanya hii huduma Dada. Nina uhakika na ninachokuambia kwa sababau niliwakuta sabasaba na nikaona wameweka hilo tangazo na wakanipa maelezo mazuri sana jinsi wanavyofanya.

Tena uzuri zaidi wanachukua hadi bima ya afya ya N.H.F.

Zaid sana ukimtanguliza Mungu.pole sana Dadangu.
 
Pole sana, haya mambo niliyasoma tu darasani, ila ni muhimu kuanzishwa hapa Tanzania.
 
Hivi Dar IVF bado ipo? Au imehamia pale Sali Hospital baada ya kuchukua lile jengo???? Though success rate yake sijui ikoje

Best option nenda SA... kule wana clinic nyingi na wapo professional sio wababaishaji...
 
Kwa huko nje itabidi asubiri korona ipungue au kuisha. Sizani kama mipaka imefunguliwa
 
Mwambie, tambua ipo siku mtoto atakuuliza baba ake yupo wap utamwambiaje? Baba ako anaitwa muhimbili ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani muwe na akili basi angalau kidogo. Mtu anaweza kuwa na mume lakini hawapati mtoto kwa njia ya kawaida. Wakaenda hospitali mume akatoa mbegu zake zikapandikizwa kwa mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepitia vizur uzi wake ukauelewa uka- relate na mda wa hyo comment?

Muda nina sema hvyo alikuwa ajaweka bayana tatizo lake bali alisema anaitaji kupandikiziwa tu, baadae ndio akaja kufafanua tatizo lake na kwann anaitaji kufanya hvyo.
 
Umepitia vizur uzi wake ukauelewa uka- relate na mda wa hyo comment?

Mda nina sema hvyo alikuwa ajaweka bayana tatizo lake bali alisema anaitaji kupandikiziwa tu, baadae ndio akaja kufafanua tatizo lake na kwann anaitaji kufanya hvyo.
Sasa wewe kwa nini ulimjibu kama kasuku? Kulikuwa na haja gani ya kujibu comment ambayo huna hata solution bali kebehi? Kwani lazima kila comment uwe wa mwanzo - mwanzo kujibu kama vile kuna mashindano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe kwa nini ulimjibu kama kasuku? Kulikuwa na haja gani ya kujibu comment ambayo huna hata solution bali kebehi? Kwani lazima kila comment uwe wa mwanzo - mwanzo kujibu kama vile kuna mashindano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu pitia comments no #21 na #24 wenda utapata mwanga wa nn nilikuwa nimelenga
 
Ebu pitia comments no #21 na #24 wenda utapata mwanga wa nn nilikuwa nimelenga
Kitendo cha kumwambia kuwa mtoto atakapomwuliza baba yuko wapi na endapo kama atamjibu mtoto kuwa baba yake 'anaitwa Muhimbili' na ukaweka emoji za kicheko, ni cha kizandiki na kinaonyesha aina ya elimu, uelewa na maadili uliyonayo.

Nadhani umenielewa, huu ni muda wa kazi tuendelee kulijenga Taifa.

Aya sawa
 
Jaman mume ninae na imeshindikana kwa njia ya kawaida sababu mirija yangu ya uzazi imeharibika

Pole Mammy, umeomba kufahamishwa lakini wengine wanakuja na hukumu bila kukufahamu kama una hatia ama la, binafisi siwezi vaa viatu vyako lakini natambua magumu unayopitia nashauri uwe na moyo mkuu.

Kuhusu huduma hiyo kuwa Muhimbili, nilimuuliza mtu wangu wa karibu akanijibu kuwa wapo mbioni kuwa nayo (ni muda umepita) huenda ikawa sasa wanayo.

Lakini kuna hospitali ya Regency kuna mtu aliniambia kuwa wanayo ila hajajua gharama zao. Pia usisite kuulizia Agha Khan Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom