A
Mfano unadaiwa nmb million 3...tunakwenda kukopa crdb million 10 nmb wanapatiwa million 3 zao unabaki na deni lako la crdbKuna kuuza mikopo tena!!! Unauzaje mkopo?
Aiseeeh!!Mfano unadaiwa nmb million 3...tunakwenda kukopa crdb million 10 nmb wanapatiwa million 3 zao unabaki na deni lako la crdb
Yes ipo, na hii inamnufaisha muuzaji wa mkopo,akiuza kutoka Bank A to Bank B huwa kuna amount anabaki nayo si haba😁Kuna kuuza mikopo tena!!! Unauzaje mkopo?
Ni kweli ni njama za benki, niliwasiliana na IT wa TAMISEMI mara kadhaa akasema mkwamo upo kwenye benki, benki zinadai zimepeleka hoja kuwa zimetafuta wateja kwa gharama kubwa iweje benki zingine ziwachukue kirahisi? Ila kwasasa nafikiri serikali inalishughulikia hilo sheikhJambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover).
Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo wanazua huduma hiyo isiwe active. Hii inafanya watu wakakope Kausha Damu wakati fursa ya mikopo ipo.
Una mkopo wa bei gani kwanza
Mlioni 8🤣Una mkopo wa bei gani kwanza
Kale ulikozipeleka hizo pesa😁Mlioni 8🤣
Si nilikuhonga wewe!Kale ulikozipeleka hizo pesa😁
Uliapa huwezi kunihonga wewe..unaanzaje kwanza mpenda pesa wangu😁Si nilikuhonga wewe!
Walitumia gharama gani? Waache watu wawe free na fedha zaoNi kweli ni njama za benki, niliwasiliana na IT wa TAMISEMI mara kadhaa akasema mkwamo upo kwenye benki, benki zinadai zimepeleka hoja kuwa zimetafuta wateja kwa gharama kubwa iweje benki zingine ziwachukue kirahisi? Ila kwasasa nafikiri serikali inalishughulikia hilo sheikh
Wana maudhi sana hawa watu wa benki, ni kwamba hawataki kupoteza watejaWalitumia gharama gani? Waache watu wawe free na fedha zao
Mbona naona kama unazidi kuwa mtumwa tu wa madeni,maana unaacha milion 3 unakimbilia kwenda kudaiwa milion 7.....!Mfano unadaiwa nmb million 3...tunakwenda kukopa crdb million 10 nmb wanapatiwa million 3 zao unabaki na deni lako la crdb
Vipi ikitokea baadhi ya vigogo wa huo mfumo wa ess kushirikiana na mabenki kuwatapeli watumishi wa umma kupitia njia yao ya kitapeli ya kutop up? Kwa sababu mfumo wameuanzisha wenyewe! Sasa kwa nini wanawanyima watumishi wanaokopa haki ya kuuza mikopo yao kwa mabenki mengine?Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover).
Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo wanazua huduma hiyo isiwe active. Hii inafanya watu wakakope Kausha Damu wakati fursa ya mikopo ipo.
Daaah hatari hiloVipi ikitokea baadhi ya vigogo wa huo mfumo wa ess kushirikiana na mabenki kuwatapeli watumishi wa umma kupitia njia yao ya kitapeli ya kutop up? Kwa sababu mfumo wameuanzisha wenyewe! Sasa kwa nini wanawanyima watumishi wanaokopa haki ya kuuza mikopo yao kwa mabenki mengine?
Hii nchi imeoza kila eneo.
Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover).
Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo wanazua huduma hiyo isiwe active. Hii inafanya watu wakakope Kausha Damu wakati fursa ya mikopo ipo.