KERO Huduma ya kuuza na kununua madeni ya mikopo ya Watumishi katika mfumo wa ESS, iruhusiwe

KERO Huduma ya kuuza na kununua madeni ya mikopo ya Watumishi katika mfumo wa ESS, iruhusiwe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
inawezekana wala sio shida hata kidogo tatizo sio serikali au bank . tatizo sio wateja ila changamoto ni hakuna mfumo unaoweza fanya ajali zisitokeee. mtoa mada hakuna engineer anauza ramani bure njoo ulipie we sort out things
 
Kuna kuuza mikopo tena!!! Unauzaje mkopo?
Biashara kubwa especially western countries, mfano Bank au kampuni inakudai shilingi 1000,000 na hulipi,mara nyingi hawana resources za kusumbuana na wewe wanaenda kuuza deni lako kwenye kampuni za ukusanyaji madeni kwa bei ya chini like 200,000, kampuni mpya kwa sababu ndio kazi yao na wana technic zote na wana weza kukupeleka mahakamani wakapata uwezo wa kuchukua mali zako utalipa tuu
 
Back
Top Bottom