inawezekana wala sio shida hata kidogo tatizo sio serikali au bank . tatizo sio wateja ila changamoto ni hakuna mfumo unaoweza fanya ajali zisitokeee. mtoa mada hakuna engineer anauza ramani bure njoo ulipie we sort out things
Biashara kubwa especially western countries, mfano Bank au kampuni inakudai shilingi 1000,000 na hulipi,mara nyingi hawana resources za kusumbuana na wewe wanaenda kuuza deni lako kwenye kampuni za ukusanyaji madeni kwa bei ya chini like 200,000, kampuni mpya kwa sababu ndio kazi yao na wana technic zote na wana weza kukupeleka mahakamani wakapata uwezo wa kuchukua mali zako utalipa tuu