Huduma ya Massage kwa Wanawake ♀️

Huduma ya Massage kwa Wanawake ♀️

Mr Hunky

Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
45
Reaction score
37
Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa?
Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli kukaza, mifupa pamoja na ngozi kusinyaa au kuwa ngumu?
Ondoa shaka nipo kwa ajili ya kuondoa matatizo ya mwili wako kupitia massage inayofanyika kitaalamu kabisa na ustadi wa hali ya juu huku ikiwa na gharama nafuu kabisa. Utafuatwa popote ulipo ndani ya Dar iwe nyumbani, hotelini au sehemu yoyote ile uliyo comfortable nayo kwa ajili ya massage na wala hautotozwa gharama yoyote ya ziada.

Aina ya massage tutoazo kwa sasa ni half body, full body, body to body pamoja na hard massage.

Fanya booking ya session yako leo kwa kunitumia email kupitia alanwegman@yahoo.com au nitumie PM hapa hapa pia waweza nipata Instagram @mr_handsome_255

NOTE: Huduma kwa sasa inapatikana kwa wanawake tu.♀️

Karibuni.

images

images

images
 
Ni kwa ajili ya wanawake tuu au hata sisi vidume

Sent
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa?
Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli kukaza, mifupa pamoja na ngozi kusinyaa au kuwa ngumu?
Ondoa shaka nipo kwa ajili ya kuondoa matatizo ya mwili wako kupitia massage inayofanyika kitaalamu kabisa na ustadi wa hali ya juu huku ikiwa na gharama nafuu kabisa. Utafuatwa popote ulipo ndani ya Dar iwe nyumbani, hotelini au sehemu yoyote ile uliyo comfortable nayo kwa ajili ya massage na wala hautotozwa gharama yoyote ya ziada.

Aina ya massage tutoazo kwa sasa ni half body, full body, body to body pamoja na hard massage.

Fanya booking ya session yako leo kwa kunitumia email kupitia alanwegman@yahoo.com au nitumie PM hapa hapa pia waweza nipata Instagram @mr_handsome_255

NOTE: Huduma kwa sasa inapatikana kwa wanawake tu.♀

Karibuni.

images

images

images
Ndio ushoga wenyewe huu Nini!? Body-to-body Tena wanawake tu! Mmh!
 
Acha ungese mleta mada, utakuja fumuliwa linda hilo ohooooo......kama mtu ana shida kwny misuli ni bora umshauri aende hospitali ohoooo
 
Instagram unatumia #mr handsome[emoji23][emoji23]. Afu biashara inafanyika "popote ambapo mtu yupo comfortable" na ni kwa wanawake tu. Biashara kama biashara
 
Back
Top Bottom