Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

Walikosea jina la mwanangu Sina haja hata kurudi Tena nikifikiria usumbufu hi nchi ya kipumbavu sana
Kweli kabisa na sababu hii inafanya watu wengi waaache kufuatilia baadhi ya vitu hapa bongo na wengine kupita shortcut sababu kuu ni usumbufu ,foleni za kijinga ,nyodo na milolongo mirefu.
 
Kweli kabisa na sababu hii inafanya watu wengi waaache kufuatilia baadhi ya vitu hapa bongo na wengine kupita shortcut sababu kuu ni usumbufu ,foleni za kijinga ,nyodo na milolongo mirefu.
Sheria za rushwa zingeboreshwa ili hata kuchelewesha huduma isomeke ni rushwa ya usumbufu
 
Na sana sana ni wadada ndio wenye changamoto kubwa ukimkuta asubuhi ofisini kachoka hata kabla ya kuanza kazi mara kuchat mara kubinua midomo yani tabu tupu na anajua Huna cha kumfanya kama ajila keshapata tena Serikalini
Alafu akirudi home anakuambia nimechoka kweli today I was very beausy beausy [emoji38]
Waje huku waone wenzao wanamka saa 11 alafajiri anarudi kumi na mbili jioni na huko anako kwenda anaenda na mguu kurudi na mguu

Ova
 
Hivi kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima gharama ni ngapi kwa sasa?
Gharama halali
 
Hawa jamaa ni janga, nilienda kuandikisha kupata cheti cha kuzaliwa cha mwanangu, walichanganya tarehe ya kuandikisha wao wakaiweka ndio tarehe ya kuzaliwa. Ikichukua mwez zaidi kupata cheti kilicho na taarifa sahihi
 
Nahisi labda wanakosea kusudi ili ulipie marekebisho
 
Mimi juzi nimetoka badili cheti Cha kuzaliwa jina nilimpa 30 nikamwambie jioni nataka cheti wakati kuna watu wanasota karibu mwaka
We nenda halmashauri kuna ofice za Rita

Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli?

Maana cha dogo jina la kati waliweka silo kabisa la mzee..

Ngoja nitafute namna ya kupata muhusika
 
watumishi wenyewe ndiyo hawa tulionao mitaani... Wanaandika "Xaxa Selikali Chakura... Mimi nikiona Mtanzania anashindwa kuandika Kiswahili fasaha, najua hata uwezo wa akili ni mdogo sana hata kama anamiliki "Elimu ya juu
 
Kwanza ukienda walivyokaa kama makarani wa kupiga kura very poor management
 
Back
Top Bottom