The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
We huoni kwamba umepigwa?Wakuu,
Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili?
View attachment 2228107
Wakuu,
Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili?
View attachment 2228107
Hapo katumwa na Diwani wa CCMStakabadhi isiyo na serial number aliye itoa ni mbusi wa albadrin hana kamba anazurura tu mitaani. Hata mangi wa nyama choma ana muogopa.
NimekusomaSio mbaya na wao kula kwa urefu wa kamba yao...hayo ni maagizo waliyopewaga kutokea jumba jeupe
Sikusanuka aiseeWe huoni kwamba umepigwa?
Sio mbaya, Kazi iendelee.Nimelisikia hili huku mtaani kwetu, wananchi tunachangishwa 3000 elfu kwa ajili ya vibao vya namba vya anuanwi na postikodi ..Je wananchi wenzangu hii ni sawa ?
Hii sio sawaNimelisikia hili huku mtaani kwetu, wananchi tunachangishwa 3000 elfu kwa ajili ya vibao vya namba vya anuanwi na postikodi ..Je wananchi wenzangu hii ni sawa ?
Binafsi sitachangia chochote kwenye hili.Nimelisikia hili huku mtaani kwetu, wananchi tunachangishwa 3000 elfu kwa ajili ya vibao vya namba vya anuanwi na postikodi ..Je wananchi wenzangu hii ni sawa ?
Mm nimeamua nichore tu kwa mkaa itatosha !!Binafsi sitachangia chochote kwenye hili.
Tufikie kipindi tuwawajibishe hawa viongozi wetu.