Huduma za Anuani za Makazi zinalipiwa?

Huduma za Anuani za Makazi zinalipiwa?

Kwani kodi zetu zinaenda wapi si ndio matumizi yake haya?
 
Hivi hela za tozo zinafanyia nini? Maanake madarasa yanajengwa Kwa hela za COVID-19 na miradi mingine ni mikopo!
 
Siwezi lipia zoezi hili,huu ndio msimamo wangu,kila mmoja abaki na msimamo wake.
 
Ndiyo, zinalipiwa, kuna kibao cha namba cha tsh 15000, 30000, 45000, vina ubora tofauti, hutaki vya bei utaandikiwa kwa mkono bure
 
Kwani bado serikali ya Tanzania inatoaga risiti ya karatasi iliyoandikwa kwa mkono au ni EFD?

Tanzania bado kuna ujinga mwingi kwa baadhi ya viongozi na raia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom