MUSHEKY JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 2,812 Reaction score 2,760 May 18, 2022 #21 Kwani kodi zetu zinaenda wapi si ndio matumizi yake haya?
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 May 18, 2022 #22 Hivi hela za tozo zinafanyia nini? Maanake madarasa yanajengwa Kwa hela za COVID-19 na miradi mingine ni mikopo!
Hivi hela za tozo zinafanyia nini? Maanake madarasa yanajengwa Kwa hela za COVID-19 na miradi mingine ni mikopo!
Sera park JF-Expert Member Joined Feb 21, 2021 Posts 398 Reaction score 730 May 18, 2022 #23 Mi niliko wanadai 3500 hela ya mfuko wa sukari hiyo
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,497 Reaction score 3,823 May 18, 2022 #24 Siwezi lipia zoezi hili,huu ndio msimamo wangu,kila mmoja abaki na msimamo wake.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 May 18, 2022 #25 Ndiyo, zinalipiwa, kuna kibao cha namba cha tsh 15000, 30000, 45000, vina ubora tofauti, hutaki vya bei utaandikiwa kwa mkono bure
Ndiyo, zinalipiwa, kuna kibao cha namba cha tsh 15000, 30000, 45000, vina ubora tofauti, hutaki vya bei utaandikiwa kwa mkono bure
U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 2,652 Reaction score 4,593 May 19, 2022 #26 Kwani bado serikali ya Tanzania inatoaga risiti ya karatasi iliyoandikwa kwa mkono au ni EFD? Tanzania bado kuna ujinga mwingi kwa baadhi ya viongozi na raia Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani bado serikali ya Tanzania inatoaga risiti ya karatasi iliyoandikwa kwa mkono au ni EFD? Tanzania bado kuna ujinga mwingi kwa baadhi ya viongozi na raia Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 May 19, 2022 #27 The Sheriff said: Wakuu, Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili? View attachment 2228107 Click to expand... Wanasema kuchukua kibao cha namba ya nyumba yako unalipa 5000
The Sheriff said: Wakuu, Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili? View attachment 2228107 Click to expand... Wanasema kuchukua kibao cha namba ya nyumba yako unalipa 5000