Huduma za kufanyiwa mchakato wa hati, kufanyiwa uthamini (Valuation) na masuala yote ya ardhi

Billy Kimber

Member
Joined
May 20, 2022
Posts
89
Reaction score
207
Kwa wakazi wa Dar ambao wanahitaji huduma zinazohusu ardhi au ushauri kuhusiana na maswala ya ardhi/majengo msisite kunitafuta.

Ninatoa huduma zifuatazo:

- Kufatilia zoezi la utoaji wa hatimiliki mpaka inapotoka.

- Kufanya uthamini (Valuation), hii ni kwa wale wanaotaka kuhamisha umiliki wa ardhi,kukopa bank kwa kutumia dhamana ya nyumba na mengineyo

- Kupima viwanja (Survey)

- Ushauri wa masuala ardhi

Tuwasiliane PM
 
Kubadili hati ya kiwanja ghara kiasi gani na inachukua muda gani?
Inachukua kama mwezi mmoja na nusu

Gharama haiko fixed kutoka kutokana na thamani ya kiwanja au jengo husika

Gharama zinahusisha

-Gharama za kufanyiwa zoezi ambapo hapa utapigiwa hesabu na kupewa ukalipie na halmashauri husika

-Gharama za kufanya uthamini

-Capital gain tax ambayo utalipia TRA. Hii huwa ni 10% ya thamani ya ardhi/nyumba husika
 
Kwa ambao wamepimiwa maeneo yao lakini bado hawana hati,tuwasiliane nikufanyie zoezi la kupata hati

Kama hujapimiwa eneo lako na unataka hati tuwasiliane pia
 
Kwa wakazi wa Dar ambao wanahunahiunuma zinazohusu ardhi au ushauri kuhusiana na maswala ya ardhi/majengo msisite kunitafuta.

Ninatoa huduma zifuatazo

-Kufatilia zoezi la utoaji wa hatimiliki mpaka inapotoka.

-Kufanya uthamini (Valuation),hii ni kwa wale wanaotaka kuhamisha umiliki wa ardhi,kukopa bank kwa kutumia dhamana ya nyumba na mengineyo

-Kupima viwanja (Survey)

-Ushauri wa masuala ardhi

Tuwasiliane 0765 49 45 48
Asnte kwa taarifa,
Je, ni vigezo gani vinatumika kutambua bei ya eneo liliojengwa maana kuna watu wanuza maeneo yao kwa bei zisizoendana na thamani husika ya eneo
 
Kama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.

So kama eneo liko wazi na unajua ukubwa wake ili kupata thamani yake unachukua bei kwa square meter unazidisha na ukubwa wa eneo.

Mfano lets say Gongolamboto kiwanja kina square meter 500 na unataka kujua thamani yake na thamani iliyoanishwa na serikali ni 18000 kwa square meter 1

Thamani=18000×500
Thamani=9,000,000View attachment current Land Value 2018.xls
 
Kama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.

So kama eneo liko wazi na unajua ukubwa wake ili kupata thamani yake unachukua bei kwa square meter unazidisha na ukubwa wa eneo.

Mfano lets say Gongolamboto kiwanja kina square meter 500 na unataka kujua thamani yake na thamani iliyoanishwa na serikali ni 18000 kwa square meter 1

Thamani=18000×500
Thamani=9,000,000View attachment 2279102
Kama eneo lina jengo ili kujua thamani yake ni mpaka lifanyiwe Uthamini (Valuation) ili kupata thamani halisi.

Kwa huduma ya uthamini karibu
 
Kama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.

So kama eneo liko wazi na unajua ukubwa wake ili kupata thamani yake unachukua bei kwa square meter unazidisha na ukubwa wa eneo.

Mfano lets say Gongolamboto kiwanja kina square meter 500 na unataka kujua thamani yake na thamani iliyoanishwa na serikali ni 18000 kwa square meter 1

Thamani=18000×500
Thamani=9,000,000View attachment 2279102
Hio document ni land value kwa maeneo mbali mbali ya Dar
 
Vipi kwa maeneo yaliyojengwa tayari ila unanunua kwa ajili ya kujenga upya na kuyaendeleza (Real estate development)
Kama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.

So kama eneo liko wazi na unajua ukubwa wake ili kupata thamani yake unachukua bei kwa square meter unazidisha na ukubwa wa eneo.

Mfano lets say Gongolamboto kiwanja kina square meter 500 na unataka kujua thamani yake na thamani iliyoanishwa na serikali ni 18000 kwa square meter 1

Thamani=18000×500
Thamani=9,000,000View attachment 2279102
 
Kwa ambao wamepimiwa maeneo yao lakini bado hawana hati,tuwasiliane nikufanyie zoezi la kupata hati

Kama hujapimiwa eneo lako na unataka hati tuwasiliane pia
Mkuu mi nipo Dom
Wamepima ila sina hati naomba procedures zakufuata
 
Nenda ofisi za Ardhi za halmashauri utapewa fomu ya kuomba kupata hati (application form) ambayo utatakiwa kuijaza.

Litafuatia zoezi la uhakiki wa kiwanja/eneo husika

Utacalculatiwa gharama ya kulipia then utapewa control namba ukalipie....
 
Wewe mleta mada taaluma yetu yas Ardhi na Uthamini huruhusiwi kujitangaza hivi. Unaonekana kanjanja au hujui ninni maana ya taaluma yetu na miiko yake. Ni unprofessional so futa huu ujinga. Uzuri umeweka namba yako ntakufuatilia VRB nikuone na nikufunze maana ya taaluma yetu. Pole
This is nothing but an act of selfishness and greed. Hakuna ubaya wow one wa mtu mwingine kutuelimisha na huenda siku za usoni tukafanya biashara, hiyo VRB unategemea tungeijua vipi?

Na pia sasa tupo kwenye uchumi wa huduma kuwafuata wateja hivyo so dhambi akifanya hivyo.
 
Back
Top Bottom