Billy Kimber
Member
- May 20, 2022
- 89
- 207
Inachukua kama mwezi mmoja na nusuKubadili hati ya kiwanja ghara kiasi gani na inachukua muda gani?
Kupima ni kiasi gani? Na unqtakiwa uwe na vitu gani?Kwa ambao wamepimiwa maeneo yao lakini bado hawana hati,tuwasiliane nikufanyie zoezi la kupata hati
Kama hujapimiwa eneo lako na unataka hati tuwasiliane pia
Unahitaji uwe na barua ya mauziano ya serikali ya mtaa au kwa wakili ili kuthibitisha mmiliki ni weweKupima ni kiasi gani??na unqtakiwa uwe na vitu gani?
Asnte kwa taarifa,Kwa wakazi wa Dar ambao wanahunahiunuma zinazohusu ardhi au ushauri kuhusiana na maswala ya ardhi/majengo msisite kunitafuta.
Ninatoa huduma zifuatazo
-Kufatilia zoezi la utoaji wa hatimiliki mpaka inapotoka.
-Kufanya uthamini (Valuation),hii ni kwa wale wanaotaka kuhamisha umiliki wa ardhi,kukopa bank kwa kutumia dhamana ya nyumba na mengineyo
-Kupima viwanja (Survey)
-Ushauri wa masuala ardhi
Tuwasiliane 0765 49 45 48
Kama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.Asnte kwa taarifa,
Je, ni vigezo gani vinatumika kutambua bei ya eneo liliojengwa maana kuna watu wanuza maeneo yao kwa bei zisizoendana na thamani husika ya eneo
Kama eneo lina jengo ili kujua thamani yake ni mpaka lifanyiwe Uthamini (Valuation) ili kupata thamani halisi.Kama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.
So kama eneo liko wazi na unajua ukubwa wake ili kupata thamani yake unachukua bei kwa square meter unazidisha na ukubwa wa eneo.
Mfano lets say Gongolamboto kiwanja kina square meter 500 na unataka kujua thamani yake na thamani iliyoanishwa na serikali ni 18000 kwa square meter 1
Thamani=18000×500
Thamani=9,000,000View attachment 2279102
Hio document ni land value kwa maeneo mbali mbali ya DarKama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.
So kama eneo liko wazi na unajua ukubwa wake ili kupata thamani yake unachukua bei kwa square meter unazidisha na ukubwa wa eneo.
Mfano lets say Gongolamboto kiwanja kina square meter 500 na unataka kujua thamani yake na thamani iliyoanishwa na serikali ni 18000 kwa square meter 1
Thamani=18000×500
Thamani=9,000,000View attachment 2279102
Kama eneo halina jengo (kiwanja kitupu) serikali imeainisha bei ya maeneo kwa ukubwa wa square meter.
So kama eneo liko wazi na unajua ukubwa wake ili kupata thamani yake unachukua bei kwa square meter unazidisha na ukubwa wa eneo.
Mfano lets say Gongolamboto kiwanja kina square meter 500 na unataka kujua thamani yake na thamani iliyoanishwa na serikali ni 18000 kwa square meter 1
Thamani=18000×500
Thamani=9,000,000View attachment 2279102
Mawasiliano yako pm tafadhaliKama eneo lina jengo ili kujua thamani yake ni mpaka lifanyiwe Uthamini (Valuation) ili kupata thamani halisi.
Kwa huduma ya uthamini karibu
Hapo eneo linatakiwa lifanyiwe uthamini.Hii itaepusha kuuziwa kwa bei ya juuVipi kwa maeneo yaliyojengwa tayari ila unanunua kwa ajili ya kujenga upya na kuyaendeleza (Real estate development)
Karibu sana mkuuOne day
Mkuu mi nipo DomKwa ambao wamepimiwa maeneo yao lakini bado hawana hati,tuwasiliane nikufanyie zoezi la kupata hati
Kama hujapimiwa eneo lako na unataka hati tuwasiliane pia
Nenda ofisi za Ardhi za halmashauri utapewa fomu ya kuomba kupata hati (application form) ambayo utatakiwa kuijaza.Mkuu mi nipo Dom
Wamepima ila sina hati naomba procedures zakufuata
This is nothing but an act of selfishness and greed. Hakuna ubaya wow one wa mtu mwingine kutuelimisha na huenda siku za usoni tukafanya biashara, hiyo VRB unategemea tungeijua vipi?Wewe mleta mada taaluma yetu yas Ardhi na Uthamini huruhusiwi kujitangaza hivi. Unaonekana kanjanja au hujui ninni maana ya taaluma yetu na miiko yake. Ni unprofessional so futa huu ujinga. Uzuri umeweka namba yako ntakufuatilia VRB nikuone na nikufunze maana ya taaluma yetu. Pole
Achana nae huyo mkuuOkay umeonekana mkuu
Kweli mkuu hakuna haja ya kuzozana naeAchana nae huyo mkuu