Huduma za makahaba zinasababisha vijana washindwe kuoa

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe Eva Steshen, amesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biasahra ya ngono wilayani humo.

Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara iliyofanywa na kamati ya UKIMWI iliyobaini kuwepo kwa madanguro na madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo wakasema hawatowafukuza bali wamewawekea mpango wa kuwapatia elimu ya ujasiriamali wasichana hao pamoja na kuwapatia mikopo kama mitaji itakayowawezesha kuachana na vitendo vya ukahaba.

images (8).jpeg
 
Sio kuoa tu hata kutongoza siku ni shida, huwez vutana na mwanamke wakt unajua ukienda pale unapata service unasepa , ukitongoza Mara vocha,Mara nywele,Mara naumwa hayo yote ya nini, nifuge ng'ombe, Mara chanjo, Mara malisho n.k wakati nikitaka maziwa yapo pale tena bei affordable, nikitaka nyama mabucha yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata vitendo vya punyeto(kujichua) Kwa vijana vimepungua sn tofauti na miaka ya zamani..teknolojia imerahisisha sn huduma,ukiwa na simu na ghetto unamaliza kila kitu kwenye simu mtt anakuja Tu mwenyewe 😎😎

Vijana wa siku hizi hawasumbuki kbs
 
Enzi zetu tuko vijana huko Moshi ndani ndani (mwika) kumtongoza mwanamke ilikuwa mtihani sn .Kijana wa miaka 25 hamjui kbs mwanamke,mtu anakuwa na ugumu Hadi anajitengenezea papuchi kwenye shina la mgomba🤣..akisikia zimepanda anaparamia mgomba anamaliza kila kitu

Vijana wa siku hizi mambo tofauti sn,wadada wanajiuza Hadi vijijini
 
Sio kuoa tu hata kutongoza siku ni shida, huwez vutana na mwanamke wakt unajua ukienda pale unapata service unasepa , ukitongoza Mara vocha,Mara nywele,Mara naumwa hayo yote ya nini, nifuge ng'ombe, Mara chanjo, Mara malisho n.k wakati nikitaka maziwa yapo pale tena bei affordable, nikitaka nyama mabucha yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Our simpler life
 
Enzi zetu tuko vijana huko Moshi ndani ndani (mwika) kumtongoza mwanamke ilikuwa mtihani sn .Kijana wa miaka 25 hamjui kbs mwanamke,mtu anakuwa na ugumu Hadi anajitengenezea papuchi kwenye shina la mgomba🤣..akisikia zimepanda anaparamia mgomba anamaliza kila kitu

Vijana wa siku hizi mambo tofauti sn,wadada wanajiuza Hadi vijijini
Shina la mgomba?😆
 
Wakiwapa hiyo mitaji na wakaacha kugawa papuchi, unibeep! Maana hii kitu nature yake ni tofauti na tabia nyingine kama wizi, ambao mnaweza mkampa mtu mtaji akaacha na kuanza kujifanyia shughuli zake, mtu aliyezowea kugawa papuchi kwanza kuna raha flani inayomfanya hata ahisi yuko dunia nyingine, hivyo kumuachisha ni kazi kwelikweli!
 
Enzi zetu tuko vijana huko Moshi ndani ndani (mwika) kumtongoza mwanamke ilikuwa mtihani sn .Kijana wa miaka 25 hamjui kbs mwanamke,mtu anakuwa na ugumu Hadi anajitengenezea papuchi kwenye shina la mgomba🤣..akisikia zimepanda anaparamia mgomba anamaliza kila kitu

Vijana wa siku hizi mambo tofauti sn,wadada wanajiuza Hadi vijijini
Duuh,ndo mama unakuta dudu limekomaa kama tairi la katapila vile...woi
 
Enzi zetu tuko vijana huko Moshi ndani ndani (mwika) kumtongoza mwanamke ilikuwa mtihani sn .Kijana wa miaka 25 hamjui kbs mwanamke,mtu anakuwa na ugumu Hadi anajitengenezea papuchi kwenye shina la mgomba🤣..akisikia zimepanda anaparamia mgomba anamaliza kila kitu

Vijana wa siku hizi mambo tofauti sn,wadada wanajiuza Hadi vijijini
Hata watoto kwa watoto at age of 12-18 hawabaniani kama zamani...enzi zile ilikua shughuli aseee
 
Wakiwapa hiyo mitaji na wakaacha kugawa papuchi, unibeep!
Maana hii kitu nature yake ni tofauti na tabia nyingine kama wizi, ambao mnaweza mkampa mtu mtaji akaacha na kuanza kujifanyia shughuli zake, mtu aliyezowea kugawa papuchi kwanza kuna raha flani inayomfanya hata ahisi yuko dunia nyingine, hivyo kumuachisha ni kazi kwelikweli!
Mtu anaweza kuingia hadi 30k kwa siku piga hesabu kwa mwezi ana sh ngap? Pia utampatia mtaji wa kiasi gani na pia biashara gani ataifanya simple apate 30k kwa siku? Maaan ukahaba unahusiana na tabia pia
 
Back
Top Bottom