Huduma za makahaba zinasababisha vijana washindwe kuoa

Huduma za makahaba zinasababisha vijana washindwe kuoa

.
IMG_20211201_141042.jpg
 
Enzi zetu tuko vijana huko Moshi ndani ndani (mwika) kumtongoza mwanamke ilikuwa mtihani sn .Kijana wa miaka 25 hamjui kbs mwanamke,mtu anakuwa na ugumu Hadi anajitengenezea papuchi kwenye shina la mgomba[emoji1787]..akisikia zimepanda anaparamia mgomba anamaliza kila kitu

Vijana wa siku hizi mambo tofauti sn,wadada wanajiuza Hadi vijijini
Kwa hiyo wazee mmekula migomba sana enzi zenu[emoji23][emoji23][emoji23] naomba Mungu aendelee kuniweka nishuhudie shuhuda nyingi
 
Hata watoto kwa watoto at age of 12-18 hawabaniani kama zamani...enzi zile ilikua shughuli aseee
Yah enzi hizo binti anafikisha hadi miaka 20 nakuendlea hamjui mwanaume na ukimtongoza mkali balaa ila kwa sasa mtoto anaanza mapnz akiwa namiaka 8 sasa umzuie asifanye tabia hiyo, kwanza hawez napili Tayar amesha athirika kisaikolojia.
Kwa hilo wazo lakuwapa mitaji hao makahaba wamefeli tena pakubwa kwani ndio itakuwa mahali pakufichia uovu wao kwa kuendlez kufnya waziwaz
 
Sio kuoa tu hata kutongoza siku ni shida, huwez vutana na mwanamke wakt unajua ukienda pale unapata service unasepa , ukitongoza Mara vocha,Mara nywele,Mara naumwa hayo yote ya nini, nifuge ng'ombe, Mara chanjo, Mara malisho n.k wakati nikitaka maziwa yapo pale tena bei affordable, nikitaka nyama mabucha yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo Kutongoza Tu Hadi Kuzaa nao kwa mkataba kbsa!
 
Kabisa yaani kukaa ndani na hawa wanawake ni kujipa stress za kijinga...wee tugegedane alafu mie napita hivi
Mke anaumuhim wake kunamuda utahitaji wakukushaur ukiwa na matatizo, kuna utahitaji faraja ukiwa hauko vzr, kunamuda utahitaji wakukuuguza walau kukupikia uji utakapougua, nakuna muda utahitaj mlezi mzur wa wanao ili uitwe baba. Sasa hivi vyote kahaba atakupatia?
Kahaba anauwezo wakukupa sex ila hatokupa furah yyt nazaid yakuanza kujutia baadae
 
Ukiliangalia kwa makini utagundua tu kuwa ili wanaume kuishi vizuri utahitaji wote mke na kahaba.

Reason behind mke mmoja hatoshi, atakukera na ratiba za kutoa papuchi...Otherwise uwe na mke zaidi ya mmoja ama uwe na mchepuko.
 
Sio kuoa tu hata kutongoza siku ni shida, huwez vutana na mwanamke wakt unajua ukienda pale unapata service unasepa , ukitongoza Mara vocha,Mara nywele,Mara naumwa hayo yote ya nini, nifuge ng'ombe, Mara chanjo, Mara malisho n.k wakati nikitaka maziwa yapo pale tena bei affordable, nikitaka nyama mabucha yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaja
 
Ukiliangalia kwa makini utagundua tu kuwa ili wanaume kuishi vizuri utahitaji wote mke na kahaba.

Reason behind mke mmoja hatoshi, atakukera na ratiba za kutoa papuchi...Otherwise uwe na mke zaidi ya mmoja ama uwe na mchepuko.
Mimi hua nahakikisha at any time t nna michepuko yangu angalau miwili ya maana, lasivyo hawa wanawake wanaweza kukutia wazimu hivihivi..
 
kwanza imekua bora makahaba kuliko wake wa ndoa kwanza wanakupa penzi la hela yote na mda wowote na hela ndogo, sasa unaoa unamgharamikia mtu kila kitu bado penzi akunyime, bado akuchunge, bado achepuke agongwe na boda boda, bado akuletee magonjwa na watoto wasio wako aaah bora tusioe ni majukumu mazito yasiyo na maana.
 
Ukiliangalia kwa makini utagundua tu kuwa ili wanaume kuishi vizuri utahitaji wote mke na kahaba.

Reason behind mke mmoja hatoshi, atakukera na ratiba za kutoa papuchi...Otherwise uwe na mke zaidi ya mmoja ama uwe na mchepuko.
Hilo nafaham kama mke hawez kutoa unyumba vzr hasa baada ya kujifungua unabid umuache mume aendlee kutembeza dose kitaa ila asilete mtoto na ukimwi bac naikiwezekan amnunulie box la condom mumew
 
Kuna mtoto nilikutana nae tegeta WhatsApp bar. Aisee kama ningekuwa sijaonma ile ngoma ningeifungua ndani. Sio kwa fenian lile
Cha ajabu najaribu kurudi pale kila siku ila sijabahatika kukutana nae tena. Nimejaribu kuulizia bado sijafanikiwa.
 
Wewe sio fundi madishi ila ni mganga njaa [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatumia nguvu kubwa kupinga changizo langu kwenye mada ya ukahaba, dah pole sana kama una H.I.V kufa taratibu tu , sikukutuma ukanunue MAKAHABA hapo mabenga, vatcan,nk nk nk nk nk
Njaa huisha, vipi kuhusu U.T.I na H.I.V vitaisha kwako? hahaa vikiisha na wewe umekwishaaa!!
 
Back
Top Bottom