Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Maskini pole sana
I feel your pain,
I feel your pain,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly, ndio tunao tahabika. Nikifunga macho image za wangonjwa zinanijia Dahhh!! Sad mwisho unajiona umzima kuliko huyo uliyemuona anaumwa zaidMaskini pole sana
I feel your pain,
Hii ya Muhimbili ndio keroo zaid, i was there, watu wa emergency wanakuja hapo mliokuwa kwenye foleni mtangojea, kuna mgonjwa wa mionzi akiingia ni 2/3 hours kungojea mind you bado wa kufanya vipimo wako msululu mrefu. Na machine ni 1
Pesa/connection mbona unapata unachotaka upesi tu.. huduma ya Afya nchi kwenye hospital e.g Taifa, Mkoa, kata ni changamoto sanaUnayosema ikija emergency. Ocean road ni routine.
Kila siku ni hivyo ila kukitupiwa rupia au wenye maelekezo kwenye ma V8 yao au wenye shungi zao, subiri hizo za kina sisi, haziwahusu?
Sisemi Muhimbili kupo bora zaidi maana si mashindano. Fika ocean road kutambua wahudumu wa roho ngumu kiasi gani.
Kwa akili yako ilivyo ningeshangaa kama ungemuelewa...Nimesoma lakini sijaelewa
Hii ya Muhimbili ndio keroo zaid, i was there, watu wa emergency wanakuja hapo mliokuwa kwenye foleni mtangojea, kuna mgonjwa wa mionzi akiingia ni 2/3 hours kungojea mind you bado wa kufanya vipimo wako msululu mrefu. Na machine ni 1
Nooo mimi sijapinga, i was sick na nilisubilishwa na nilifika Muh saa 7 asubui kupata huduma saa 12 jioni hii sio sawa hata kidgo.. siwezi tetea ujinga huu hata kwenye ndotoOcean road 0700 - 2200 unashangaa kwa nini appointment isiwe spaced mtu akaja kutibiwa ndani ya saa moja au mbili akaondoka? Wewe unaona kukaa kusubiri bIla mrejesho (unknowingly) 0700 - 2200 ni sawa? Kuwa hivyo ni Bora zaidi? Ndiyo kauli yako hiyo ndugu?
Nilikuwa na jirani yangu mama yake alilazwa hosp wakaelekezwa dawa fulani ambayo pale hospital haikuwepo nikamwambia ngoja niende wewe baki na mama wakati huo hali yake haikuwa nzuri hata kidogo. Akaniambia mama wawili wahi kidogo nakuomba, nikaondoka nilikuwa speed kwa kweli nikasimamishwa na trafic wa kike, akanihoji kama kawaida nikamweleza kwa kifupi nikimsihi nipeleke dawa nirudi kwani ile njia napita sana akakataa. Akaanza kuandika maelezo sijui vitu gani, wakati huo gari zikipita anasimamisha tena mie niko pale pembeni namsubiria hapo na simu yangu inaita sana kutoka kwa yule jirani yangu, aisee nikaondoka pale nikafuata gari nikaondoka zangu nikasema liwalo na liwe. Nafika nakimbia wodini hata gari sijazima nakuta jirani ametolewa analia sana. Aloo nikasema ngoja nirudi nikazime gari nafika pale parking natetemeka kwa hasira nikawasha gari nikaenda kwa yule dada trafic akanisimamisha tena nikafika nikasimama nikazimtupia zile dawa usoni nilizokuwa nimemnunulia yule mgonjwa nikamwambia haya amekufa sasa, na yeye akanisukuma aloo, nilimchapa yule dada makonde ya fasta fasta mpaka tunagombelezewa na trafic mwingine wa kiume anatoka damu puani. Cha ajabu baada ya ugomvi na mie kuelezea hali halisi akakubali mambo yaishie pale pale nafikiri wale wengine walimsihi labda, sijui ilikuwaje maana aliniambia atanifunga 🙄 Kwa kweli hizi hospitali waziangalie kwa jicho la tatu maskini ndio tunaoteseka.Mie wangenilaza polisi maana ningemshushia kipigo cha kufa mtu huyo nesi. Yani ningempiga haswaaa
Yaani Ile Siyo Hospital ni "Death Row"Unit" Kwa kuwa Wanaijua Hilo ndio kisa hawana business na Wagonjwa hasa WA Cancer. Pale hakuna Emergency. Huko Wodini full kuweka Vitu vya na Vyakula vya Wagonjwa Sakafuni. Wodi zina joto kama tanuru za mikateImekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku.
Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza bado tiba asipate. Hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusiana na ucheleweshwaji huu zaidi ya kuwa subirini.
"Mazingira wezeshi kabisa ya rushwa."
Wenye pesa zao, ma V8, wenye utambulisho kutoka Zenji huko nk, hao hutibiwa tiba hizo hizo bIla usumbufu na kwa wakati kama wanavyofika na kujiondokea.
Wagonjwa hawa wengi wao ni wazee waliodhoofu sana. Kukaa hospitali bila kula kutokea asubuhi hadi usiku, ni jambo la kushangaza sana.
Kwa wiki kama tatu zilizopota hali ilionekana kutengamaa baada ya malalamiko makali. Hata hivyo hali imeanza kurejea kule kule tena.
Hali hii hadi lini? Au hadi wagonjwa waandamane kama wale wa TRL Dodoma? Hapo hadi Magogoni si ni umbali wa pua na mdomo?
Acheni kusumbua wagonjwa. Kwa nini miadi isiwekwe kumwezesha mgonjwa mmoja kutokaa zaidi ya saa moja kwenye foleni akisubiri?
Rushwa hadi kwa mgonjwa aliyetaabani?
Kwani tunakwenda misikitini au makanisani kufanya nini?
Kila mahali shida zile zile za upigaji. Tutafika tukiwa tumechoka sana.
Mola atufanyie wepesi.
Yaani Ile Siyo Hospital ni "Death Row"Unit" Kwa kuwa Wanaijua Hilo ndio kisa hawana business na Wagonjwa hasa WA Cancer. Pale hakuna Emergency. Huko Wodini full kuweka Vitu vya na Vyakula vya Wagonjwa Sakafuni. Wodi zina joto kama tanuru za mikate
mitambo ya Ocean road ni michakavu na wagonjwa ni wengi hili ndo Tatizo kubwa! Kinachotakiwa ni Serikali kununua mitambo ya KutoshaImekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku.
Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza bado tiba asipate. Hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusiana na ucheleweshwaji huu zaidi ya kuwa subirini.
"Mazingira wezeshi kabisa ya rushwa."
Wenye pesa zao, ma V8, wenye utambulisho kutoka Zenji huko nk, hao hutibiwa tiba hizo hizo bIla usumbufu na kwa wakati kama wanavyofika na kujiondokea.
Wagonjwa hawa wengi wao ni wazee waliodhoofu sana. Kukaa hospitali bila kula kutokea asubuhi hadi usiku, ni jambo la kushangaza sana.
Kwa wiki kama tatu zilizopota hali ilionekana kutengamaa baada ya malalamiko makali. Hata hivyo hali imeanza kurejea kule kule tena.
Hali hii hadi lini? Au hadi wagonjwa waandamane kama wale wa TRL Dodoma? Hapo hadi Magogoni si ni umbali wa pua na mdomo?
Acheni kusumbua wagonjwa. Kwa nini miadi isiwekwe kumwezesha mgonjwa mmoja kutokaa zaidi ya saa moja kwenye foleni akisubiri?
Rushwa hadi kwa mgonjwa aliyetaabani?
Kwani tunakwenda misikitini au makanisani kufanya nini?
Kila mahali shida zile zile za upigaji. Tutafika tukiwa tumechoka sana.
Mola atufanyie wepesi.
Hivi mionzi inaishaga!?Unaweza kuta mashine ya mionzi ipo moja tu na yenyewe imeishiwa mionzi, hii ndo bongolala bhana.....
Watu wa kada ya afya hawana utu,roho ngumu,mtu kufa wakimuona washazoweaHakuna kitu kinanishangaza kama kutengeneza mazingira ya rushwa kwa mgonjwa. Inasikitisha sana
Kibongobongo inaisha.....maana kama haiishi watu wangepewa huduma stahiki.Hivi mionzi inaishaga!?
Huyo ummy amekua mshenzi mshenzi tu hana ufatiliaji wala nnWao wakipata mafua kidogo tu wanakimbilia nje ya nchi , balaa sana hii, mtafuteni ummy mwalimu labda atasaidia jambo hapo maana nchi yangu bila kuandikana magazetini, mitandaoni na kwenye Ripoti za CAG kichere hakuna kitu kinafanyika.