Huenda 2024 tukawa na Waziri Mkuu mpya ili kuikamata Kanda ya Ziwa yote na kummaliza mazima Mshindani wa 2025 ndani ya CCM

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na GENTAMYCINE naendelea Kutabiri kuwa huenda mwishoni mwa 2024 au hiyo hiyo 2024 kukatokea Msiba mkubwa au Tukio Kubwa la Kashfa ambayo itamchafua na kummaliza vibaya Mshindani.

GENTAMYCINE naendelea tena Kutabiri mapema 2025 kutatokea tena Vifo vya Waandamizi wa Kati wa Chama ( CCM ) ambao ni Washindanu Dagaa wa Mbio za 2025 ndani ya CCM.

Namalizia kwa kusema wenye Akili Kubwa na Maono akina GENTAMYCINE tulionya na kusema ndani ya Chama ( CCM ) hali si Shwari hivyo Watu Wajitathmini upesi kabla hali haijawa mbaya nikapuuzwa / tukapuuzwa ila kwa yanayoenda kutokea mtakuja hapa hapa Jamiiforums kunipigia Salute GENTAMYCINE Zanaki, Yao and Tutsi Finest.

Na kuna Mtu ( Mpuuzi Mmoja ) kapewa Cheo anadhani anapendwa sana wakati kumbe hapo kawekwa tu katika Trigger na sasa wenye Kazi zao wanamalizja Kuchora ramani ya kumaliza Shughuli kabisa ili awe Historia na Masifasifa yake ya Kipuuzi.
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-11-01-07-20-01-54.jpg
    Screenshot_2023-11-01-07-20-01-54.jpg
    27.5 KB · Views: 4
Na GENTAMYCINE naendelea Kutabiri kuwa huenda mwishoni mwa 2024 au hiyo hiyo 2024 kukatokea Msiba mkubwa au Tukio Kubwa la Kashfa ambayo itamchafua na kummaliza vibaya Mshindani.

GENTAMYCINE naendelea tena Kutabiri mapema 2025 kutatokea tena Vifo vya Waandamizi wa Kati wa Chama ( CCM ) ambao ni Washindanu Dagaa wa Mbio za 2025 ndani ya CCM.

Namalizia kwa kusema wenye Akili Kubwa na Maono akina GENTAMYCINE tulionya na kusema ndani ya Chama ( CCM ) hali si Shwari hivyo Watu Wajitathmini upesi kabla hali haijawa mbaya nikapuuzwa / tukapuuzwa ila kwa yanayoenda kutokea mtakuja hapa hapa Jamiiforums kunipigia Salute GENTAMYCINE Zanaki, Yao and Tutsi Finest.

Na kuna Mtu ( Mpuuzi Mmoja ) kapewa Cheo anadhani anapendwa sana wakati kumbe hapo kawekwa tu katika Trigger na sasa wenye Kazi zao wanamalizja Kuchora ramani ya kumaliza Shughuli kabisa ili awe Historia na Masifasifa yake ya Kipuuzi.
CCM ina hekaheka kama Game of Thrones
 
Paragraph ya mwisho umenimaliza kwa kuniua mbavu mkuu 😂🤣

Haya ya mungu mengi..., tuombe uhai tushuhudie 👍🏾🙏🏾
 
Back
Top Bottom