Kuna siku soko la korosho limewahi kufungwa? Bei za korosho kiukweli tangu samia aingie madarakani haijawahi kutokea mkulima kupata shiling 1800 mkononi ila wakati wa magufuli bei ilikuwa juu..na tukija upande wa hospital ya rufaa ni zaidi ya uhuni kwasababu bado mafuriko ya watu kwenda ndanda na nyangao yapo vilevile tafsiri yake ni kwamba huduma za hizo hospital ni duni