Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

Sijasoma uziila heading tu inatosha kusema kuwa huyo ameshindwa kuwa msaada kwa waumini wake, sembuse akawe msaada kwa taifa?
 
Kuna sentensi rahisi ya kuku elezea zaidi ya kukuambia" huna akili"?
Jibu hoja kwa hoja..kumwambia mwenza hana akili kwa hoja aliyoleta bila wewe kuijibu, inamaanisha akili yako imeshindwa kuielewa hoja.
Sasa, asiyekuwa na akili ni nani hapo.
 
Aende bungeni kawatetea masheykh wa Uamsho waliosingiziwa kama ilivyokuwa Kwa Joseph ndani ya Bible
 
Gwajima anaweza kuwa msaada mkubwa wa kuingiza sheria za porn industry kwenye katiba ya taifa letu.
 
Alipigwa maswali na mzee mmoja akalowa, Huyo mpelekee mkeo.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Usiwaze kwa akili yako ya utopolo, kwani marangapi umefanya ujinga? Na si kila lililopo mtandaoni ni la kweli. Tutakubaliana kuwa hakuna mkamilifu hata wewe hufanya ujinga ila haikuzuii kuiongoza familia yako au kile unachokisimamia.
Mkuu unajua hata wewe unafaa kuwa muumini wa Gwajboy kama bado hujawa muumini wake.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Weka wasifu wake wa mambo ya kimwili hapa, hilo suala la kiroho halina mashiko hapa.
 
Moto Ulao,

Acha kutudhalilisha Wakristo wewe, sisi hatuna kiongozi wa hivyo. Sema kiongozi wa kikundi kinachojiita ufufuo wa wafu(Ingawa hajawahi kufufua mfu hata mmoja) Kwanza askofu ni cheo kikubwa sana katika kanisa. Huyu wa kulala na kuamka anajiita askofu wala hana hadhi hiyo.
 
5. Kama Askofu Gwajima atashinda ubunge. huenda tukaanza kujilaumu kwanini hatukujua mapema tukamshtua agombee ile miaka 10 tuliyokuwa tunaongozwa na Halima Mdee ambaye amemaliza muda wake

Imeandikwa na;
Mchambuzi Huru
Mkuu Moto Ulao , naunga mkono hoja, ila hiyo kauli ya "kama Askofu Gwajima atashinda ubunge", iondoe, hii ni kauli ya probability kuwa anaweza akashinda au asishinde!, Mimi ni mwana Kawe, hakuna probability ya CCM kushindwa, Askofu Gwajima ni Mbunge wa Kawe anayesubiri kuthibitishwa tuu hiyo tarehe 28 October, kwasababu Mhe.

Halima Mdee, hakuna lolote alilofanya Kawe kipindi chake chote cha miaka 10, hivyo wana Kawe katika Umoja wetu, tumeamua this time tunataka maendeleo, chama pekee kinacholeta maendeleo ni chama kimoja tu, the one and only CCM!

Uchaguzi 2020 - Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…