Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

Zitto yupi unayemsemea wewe? Acha akili mgando kabisa na ujue kuna watu wanakutegemea utoe mawazo yenye maana
Yaani nyie praise team mmeshindwa kuficha kabisa mahaba yenu kwa gwajiboy ?!![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064],kwa mahaba mnayoyaonesha hapa hata akiwa
aomba tusi lzm muachie
 
Ngoja nikwambie kitu ndg gwajima huwezi sema ni kiongozi wa kiroho,wale ni wajasiriadini so hata huko kwenye siasa anapoenda ni kwa maslahi yake
 
Kaka Gwajima hajawahi kuwa kiongozi wa dini ila ni tapeli
Viongozi wote wa dini type ya gwajima ni matapeli isipokuwa yule Mwl Christopher Mwakasege,yule amejitanabaisha wazi kabisa ni Mwl wa biblia,anakufundisha Neno la Mungu basi ndio maana anazunguka Tz nzima
 
kwakuwa ni askofu naamini hataiacha kawe yatima, hatakubali jimbo lidolole mikononi mwake, naamini pia ataisaidia sana kawe hasa akiendeleza hofu ya kumtii Mwenyezi Mungu. Waliomdhihaki kipindi hiki chote cha kampeni watamheshimu kwa yale atakayowatendea wana kawe naamini hivyo tuu
 
Waambie hao praise team
 
Nyie wote walewale tuu Praise team,tumeamua kuwapuuza tuu
 
Umeongea vizur kabisa kamanda [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122],watu kama unaowaona hapa jf kumfagilia huyo gwajiboy walikuwepo hata vipindi vya manabi
 
Kwa zile bakora yule mzee alizompiga alivyoenda kuomba kura ni proof tosha amejikuta tu anagombea hajui anataka nini
 
Kutusaidia kufundisha kukata mauno????
 
Nilichokiangalia kwa Watanzania tulio wengi bado hatujawa serious sana na mambo yetu, lakini pia nimegundua kwamba waTanzania sisi sote hatujui tunataka nini na tunaelekea wapi.
Sikuwahi fikiria kama watanzania wenye akili timamu na wasomi kama wangekuja kuonyesha support ya kumpa ungozi binadamu au mtu ambaye anatuhuma za kufanya mambo machafu mitandaoni. Kwa Mataifa ya wenzetu hawawezi kukubali mtu wa namna hii kuwaongoza. Nadhani kwa wale wote ambao wanaongesha support kwa mtu mwenye kashfa sharti wajitafakari na wajue nini wanataka na wanakwenda wapi. Hebu imagine unakuwa nankiongozi ambaye ukiingia kwenye Xvideos websites unakuta sura yake live unadhani tunatengeneza kizazi cha namna gani..we need to show consistency to our needs kwakweli..imenishangaza sana awam hii TZ yangu
 
Viongozi wote wa dini type ya gwajima ni matapeli isipokuwa yule Mwl Christopher Mwakasege,yule amejitanabaisha wazi kabisa ni Mwl wa biblia,anakufundisha Neno la Mungu basi ndio maana anazunguka Tz nzima
Ila hawa wa makanisa ya maturubai sitakaa niwaamini
 
Kuna watu akili wamezikalia kabisa, huwezi kabisa kuwa na akili iko kichwani ukawaza kumchagua mtu tofauti na Gwajima kwa Kawe.

Watu wehu ndio watakaomchagua Gwajima,mtu TAPELI anaewahadaa waumini wake masikini na kuwalia sadaka zao. Ubunge anautafuta kwa njaa zake sio kwa kuwahudumia watu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…