Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati?
Lakini waswahili usema ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga yule yule aliyekuwa ameotea akatoa assist ya goli ndio uyo uyo kajifunga!
Aikutosha mwamuzi akaona nyie mnanitania kama nishavuta advance kwanini nisifanye juu chini awa watu wapate ushindi ngoja niongeze dk 5 kipindi cha kwanza Ngoma ikagoma
Kipindi cha pili ngoja niongeze dk 9, zikachezwa zikaisha Ngoma ikagoma, akaona hapana watoto wanadaiwa karo ya shule lazima Salio lililobaki nilichukue akaongeza za kwake nyingine na Mpira ukawa umechezwa dk 108!!!!!!
Hii sio kwa bahati mbaya ni kwamba alidhamilia Simba washinde kwa namna yoyote Ile maana ata kama fountain gate walipoteza muda aikuwa kwa kiwango icho na vipi kama Simba ndio ingekuwa inaongoza je angeongeza hizo dk zote?
Tumeshuhudia Simba akipata ushindi wa mauza uza Kila mara kwa kuwatumia marefa sasa hii ya jana ni kiboko!
Marefa wamekuwa majanga na bahasha za Simba zimekuwa ndio zinawabeba na sio kingine!