Huenda bahasha ndizo zinawapa Simba ushindi na siyo kocha, mechi ya Simba na Fountain Gate imenipa wasi wasi juu ya hilo

Wewe ndio kiazi kwanini dk ziongezwe mechi za Simba tu Kuna nini hapo? Ina maana Sheria za soka ziko sawa kwa Simba tu but kwingine azitumiki? Usitufanye wote atujui hii michezo labda kamdanganye asiyejua,,nimekuuliza kama Simba angekuwa anaongoza angeongeza hizo dk?
Acha makasiriko sheikh.
 
Goli la Simba sina hakika na uhalali wake, reaction ya Refa ilikua ni kama anataka kutoa kadi hali iliyofanya wachezaji wa Fountain Gate kulirelax.

Kuhusu ile ni Offside au sio Offside bado kuna ukizingatia picha za marejeo hazikuonesha inavyotakiwa wakati mpira unatoka mguuni.

Ukichana na hivyo Refa alikua sahihi katika matukio mengi sana na alichelewa sana kumpa kadi nyekundu yule kipa.

Kuna jamaa nilikaa nae karibu nikamwambia mapema tu huyu kipa anamtafuta lawama kipa na kweli yakatokea. Kipa alifanya utoto na wangepoteza ule mchezo ilitakiwa alaumiwe yeye.

Kuhusu dakika 9 za nyongeza zilikua nyingi sana japo refarii kucheza hadi dakika ya 104 alikua sahihi pia.Tujiulize kipa alipoteza dakika ngapi hadi kutoka nje baada ya kupewa kadi nyekundu na zilitumika dakika ngapi hadi kufanyika replacement ya kipa.

Mimi sio muumini wa kutoa accusation zisizo na ushahidi. Naamini aina hii ya ushabiki ni ya kizamani na zama zimebadilika.
Wewe ni Hakimu wa Haki. Uishi milele Mkuu🙏
 
Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati?

Lakini waswahili usema ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga yule yule aliyekuwa ameotea akatoa assist ya goli ndio uyo uyo kajifunga!

Aikutosha mwamuzi akaona nyie mnanitania kama nishavuta advance kwanini nisifanye juu chini awa watu wapate ushindi ngoja niongeze dk 5 kipindi cha kwanza Ngoma ikagoma

Kipindi cha pili ngoja niongeze dk 9, zikachezwa zikaisha Ngoma ikagoma, akaona hapana watoto wanadaiwa karo ya shule lazima Salio lililobaki nilichukue akaongeza za kwake nyingine na Mpira ukawa umechezwa dk 108!!!!!!

Hii sio kwa bahati mbaya ni kwamba alidhamilia Simba washinde kwa namna yoyote Ile maana ata kama fountain gate walipoteza muda aikuwa kwa kiwango icho na vipi kama Simba ndio ingekuwa inaongoza je angeongeza hizo dk zote?

Tumeshuhudia Simba akipata ushindi wa mauza uza Kila mara kwa kuwatumia marefa sasa hii ya jana ni kiboko!

Marefa wamekuwa majanga na bahasha za Simba zimekuwa ndio zinawabeba na sio kingine!
OKW BOBAN SUNZU angalia hii na uone kama ni sahihi

View: https://www.youtube.com/watch?v=mqf0V8VDdx4
 
Wewe ndio kiazi kwanini dk ziongezwe mechi za Simba tu Kuna nini hapo? Ina maana Sheria za soka ziko sawa kwa Simba tu but kwingine azitumiki? Usitufanye wote atujui hii michezo labda kamdanganye asiyejua,,nimekuuliza kama Simba angekuwa anaongoza angeongeza hizo dk?
Ngoja Nikutoe Tongotongo Mleta Mada.
Jana Mechi Iliongezwa Dakika 9 Na Refa Ambaye Ana Saa Mkononi Inayomuongoza Kuhakikisha Mechi Inachezwa Dakika 90.
Ila Mashabiki Wengi Huwa Mnatumia Saa Ya Mrusha Mechi Mbasharaa Ambayo Haisimami Mpaka Mwisho Wa Mechi.

Na Mechi Ya Jana Kulikuwa na Delay Za Muda Nyingi Tu.Na Baada Ya Kuongezwa Dakika9 ,Kufika Dakika Ya Ya 2 Kati Ya Zile Tisa Za Nyongeza Kulikuwa Na Tukio La Kadi Nyekundu Na Baada Ya Mwamuzi Kumuonyesha Kadi Golikipa Alidelay Kutoka Alichukua Kama Dakika4 Kutoka Uwanjani.
Hiyo Ilipelekea Mwamuzi Kufidia Hizo Dakika Zilizopotezwa Lengo Mchezo Uchezwe Dakika 90.
Mara Nyingi Mechi Zinazoongezwa Dakika Nyingi Ni Zile Ambazo Timu Ndogo Zinahitaji Angalau Point Moja Kwa Hiyo Kunakuwa Na Upotezaji Mkubwa Wa Dakika wa Ile Timu Ndogo Na Ndio Maana Huwezi Kukuta Simba Au Yanga Inaongoza Kukawa Na Upotezwaji Wa Muda Ikapelekea Mwamuzi Afidie Dakika Nyingi.
Na Kama Wewe Ni Shabiki Wa Yanga Nenda Kaangalie Mchezo Wa Yanga Na Azam 1st Round Mwamuzi Aliongeza Dakika Ngapi Mchezo Ukamalizika Dakika Ngapi?
 
Uyo refa alishaonyesha mazingira ya kutokuaminika kutokana na matendo yake uwanjani,,vitendo kama kuruhusu goli la offside ilikuwa ni ishara ya kuonyesha alikuwa na dhamira ovu,,muda ulipotezwa lakini sio kwa kiwango alichokiweka yeye,,tusitetee upuuzi kama huu tunalea majipu ambapo itatokea kwa wengine na autokuwa na nguvu za kuhoji kwasababu ushahalalisha haramu!
 
Umeshawahi Kuwa Refa Hata Kwa Timu Ya Mtaani?Kwani Kazi Za Washika Vibendera Unajizijua? Je Unajua Kiwango Cha Dakika Kilichopotea Au Una Hisi?Kama Hujajibu Haya Maswali Uenda Wewe Ndo Ukawa Umeandika Upuuzi.
 
Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati?

Lakini waswahili usema ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga yule yule aliyekuwa ameotea akatoa assist ya goli ndio uyo uyo kajifunga!

Aikutosha mwamuzi akaona nyie mnanitania kama nishavuta advance kwanini nisifanye juu chini awa watu wapate ushindi ngoja niongeze dk 5 kipindi cha kwanza Ngoma ikagoma

Kipindi cha pili ngoja niongeze dk 9, zikachezwa zikaisha Ngoma ikagoma, akaona hapana watoto wanadaiwa karo ya shule lazima Salio lililobaki nilichukue akaongeza za kwake nyingine na Mpira ukawa umechezwa dk 108!!!!!!

Hii sio kwa bahati mbaya ni kwamba alidhamilia Simba washinde kwa namna yoyote Ile maana ata kama fountain gate walipoteza muda aikuwa kwa kiwango icho na vipi kama Simba ndio ingekuwa inaongoza je angeongeza hizo dk zote?

Tumeshuhudia Simba akipata ushindi wa mauza uza Kila mara kwa kuwatumia marefa sasa hii ya jana ni kiboko!

Marefa wamekuwa majanga na bahasha za Simba zimekuwa ndio zinawabeba na sio kingine!
Inatia shaka kwa kweli lakini inapunguza shaka kwa tukio moja la kukataa goli la Makolo.
 
KWELI NIMEGUNDUA MAMBUMBUMBU HAYAPENDWI INJI HII😆😆
 
Umeshawahi Kuwa Refa Hata Kwa Timu Ya Mtaani?Kwani Kazi Za Washika Vibendera Unajizijua? Je Unajua Kiwango Cha Dakika Kilichopotea Au Una Hisi?Kama Hujajibu Haya Maswali Uenda Wewe Ndo Ukawa Umeandika Upuuzi.
Wewe Bora ukakaa kimya tu usidhani Kila unayebishana nae hapa ni mbumbumbu,,ayo maswali ungemuuliza refa wako na washika vibendera wako sio Mimi,,siwezi kukujibu kwakuwa mahaba yamekuzidi na mahaba yakikuzidi unakuwa kipofu!
 
Umbumbumbu Una Kawaida Ya Kujisema Wenyewe Wala Haitajiki Shahidi Kuthibitisha .Goli La Offside Unamlalamikia Refa Wa Kati Alafu Unaukana Umbumbumbu Wakati Huo Tayari Umbumbumbu Umeshajiweka Wazi Kwako.
 
Back
Top Bottom